Ipi sahihi; kufanya kazi kwa bidii au kufanya kazi kwa welevu?

Wengi wanashauri, ili ufanikiwe lazima ufanye kazi kwa bidii; lakini miaka nenda rudi, kuna wasukuma mikokoteni wanafanya kazi kwa bidii, waponda kokoto wanafanya kazi kwa bidii, mkulima analima kwa bidii, mchoma mahindi anahoma kwa bidii, muuza nyanya anafanya kwa bidii n.k lakini maisha yao yako vile vile.

Sasa, hii kufanya kazi kwa bidii inamaanisha nini? Kwa nini tusiseme kufanya kazi kwa werevu?​
Weledi
 
Work smart not work hard.

If you work hard smartly is the best than former
 
Bidii ndio inabeba kilakitu. Bidii, welevu bila ya malengo vyote hivyo vimekufa.
Malengo ndio yananafanya bidii yako ionekane.
Malengo ndio yanafanya welevu wako uonekane.

Shuguli zote za binadamu hasa bishara ina mambo matatu. Kupata wateja, kupata faita na kukua
Kama unapata wateja hupati faida kunashida mahali.
Kama upata faida na haikui pia kuna shida na hapa ndio kukosa malengo.
Kama kilasiku unaponda mawe kwa nyundo kwanini sasa usitafute karasha ndogo ya kuvunjia mawe ndani ya miaka hata 10 ya kazi yako.

Hivyo malengo ndio msingi wa bidii na welevu
 
Wengi wanashauri, ili ufanikiwe lazima ufanye kazi kwa bidii; lakini miaka nenda rudi, kuna wasukuma mikokoteni wanafanya kazi kwa bidii, waponda kokoto wanafanya kazi kwa bidii, mkulima analima kwa bidii, mchoma mahindi anahoma kwa bidii, muuza nyanya anafanya kwa bidii n.k lakini maisha yao yako vile vile.

Sasa, hii kufanya kazi kwa bidii inamaanisha nini? Kwa nini tusiseme kufanya kazi kwa werevu?​
Mafanikio ni nini ? Kama mafanikio ni kufanikisha kile uliachoanzisha inakuwaje unasema Mkulima anayelima hekari moja ili apate gunia kadhaa hajafanikiwa wakati kapata hizo gunia ?

Kama anatumia masaa ishirini kulima wakati angeweza kulima kwa sekunde basi hayupo efficiency inabidi atumie werevu wa kupunguza shughuli (unless anachofanya ni hobbie na part ya mazoezi)... AU werevu unamaanisha ujanja ujanja wa mtu kuvia viazi vya huyu mkulima na kuiba ? Na kama huo werevu (ujanja ujanja utamfanya huyu mtu awe na guilty conscious huwezi kusema hao ni mafanikio) - Au unasema kwamba safari ya huyu Mkulima wa leo ili Kesho au nani ? Mnyampala ?
 
Nilikuja gundua maisha yanataka ujanja ujanja... Ukijifanya mr msingi nguvu basi utakuwa msaka tonge daima.

Kadri unavyotumia nguvu nyingi ndivyo kipato kinazidi kuwa kidogo.
 
Back
Top Bottom