Total capacity ya megawatt Tanzania ni 1600MW na bwawa la Nyerere likikamilika jumla tutakuwa na MW 3600.Kuhusu size ya eneo LA nchi ya Korea Kusini amekosea, tusipoteze Mira kwenye hiyo typing error, turudi kwenye Nada nini siri kea nchi ndogo Kama Korea kusini kuweza zalisha umeme mwingi kiasi hicho na nchi kubwa Kama Tanzania hata mega wat 10,000 tuu hatujaweza fikia huko.
Hizo 10,000 umezitoa wapi?
Kwa kifupi currently tunazo GW 1.6 kulinganisha na Korea mwenye 143GW.