Ipi siri ya nchi ndogo ya Korea Kusini kuzalisha umeme mwingi wa Gigawatts 143?

View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.

Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.

Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Huko hakuna ccm hivyo hicho sio kitu cha ajabu.
 
View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.

Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.

Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Siri anayo mwijage na magufuli

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
North Korea mpaka kesho watu wanataka kukimbia kwenda China wanazuiwa na serikali.

Wachache wanaokimbia wanasimulia maisha magumu na ya udikteta mkubwa huko NK.
Kuhusu suala la huo udikteta wa familia ya kina Kim siwezi pingana nawe

Kitu peke NK wana hitaji ni kupata kiongozi Deng Xiaoping wa kikorea kuna kitu kikubwa atabadili kutoka kuimarisha zaidi ulinzi atajikita katika kuimarisha maeneo mengine sina shaka na jamii ya kikorea ikaamua kubadili jambo fulani tena katika muda mfupi wanaweza
 
View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.

Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.

Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Wapo.serious na mambo ya kitaifa na nchi Yao!

Sisi tupo serious na Biashara Binafsi za watu kuliko utaifa wetu!!japo tuna vyanzo vya kutosha vya umeme n.k!!
 
View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.

Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.

Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
wewe unaweza kugeuza mchanga/ udongo kuwa mashine kama wenzako wa Korea? Anzia hapo kwanza kujiuliza.
 
View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.

Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.

Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Korea Kusini si ndogo kihivyo. Ina ukubwa wa kilomita za mraba 100,210 na siyo 100.
 
View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.

Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.

Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Wanafua umeme kwa kutumia nishati ya Nyuklia ivo kiwango hicho cha umeme ni kawaida san

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nimekupa majibu mawili hayo ya msingi.

Ukubwa wa nchi hauna tija kama huna nidhamu ya kuitumia hiyo nchi kubwa.

Pia, katika dunia hii ya viwanda na intellectual prpperty, huhitaji nchi kubwa sana kuendelea, unahitaji akili kubwa.
Okay Mkuu, hapo hoja ni akili kubwa
Maana yake Tanzania tuna uhaba wa akili kubwa. Au tuna akili ndogo sana?
 
Inawezekana hamna interest ya kutumia akili, mna interest ya kutumia nguvu kubwengana na kusema "nchi yetu kubwa..."

Tanzania nafikiri ndiyo nchi iliyopewa misaada kuliko nchi nyingine yoyote Afrika over the years, lakini hata sioni kilichofanyika.
 
View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.

Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.

Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?

Kuna wengine wanazalisha teraWatts. Lkn wanajitahidi.
 
Total capacity ya megawatt Tanzania ni 1600MW na bwawa la Nyerere likikamilika jumla tutakuwa na MW 3600.

Hizo 10,000 umezitoa wapi?

Kwa kifupi currently tunazo GW 1.6 kulinganisha na Korea mwenye 143GW.
Which is equal to Total failure kea nchi kubwa kama hii yenye kila aina ya rasilimali kila kona.
 
Huwezi kuwa mshirika wa lile dubwana kubwa alafu ukawa mjingamjinga. South Korea, Japan, Taiwan ni washirika wake na wote wako vizuri kiuchumi. Meanwhile, North Korea majirani na ndugu kabisa wa South Korea hawafikishi 8,000 MW wakiokolewa na kuwa na deposit ya makaa ya mawe, na wenye umeme nchi nzima hawafiki 60%
Mkuu T14 Armata hizi ptopaganda zinazosambazwa na west unaziamini sana. North korea haipo hivyo kama tunavyoambiwa. Uonho jkirudiwa sana huwa ukweli.
Ila nashukuru SMO imetufumbua sana macho na akili. We baki hivyo hivyo.
 
Mna hoja/maswali ya kitoto saana...unajua kabisa kiuchumi ata GDP(PPP) Korea kusini kazipita nchi nyingi saana zilizoendelea.. Canada wenyewe wamekimbizwa,Leo mnataka kuja kuilinganisha na Tanzania
hahahaaa Mama anafungua nchi
 
Nacho fahamu janga la njaa NK lilitokea lakini si kwamba ndio maisha yao ya kila siku.

Tanzani miaka ya 60 jangwa la njaa lilitukumba mpaka kuomba msaada nje, China janga la njaa miaka ya 50 liliwakumba.

Majanga ya njaa huwa yanatokea katika mataifa mbalimbali na huwa yana sababu zake mara nyingi sana huwa sera kutokuleta matokeo tarajiwa au kutengeneza zaidi kilimo cha mvua.

Majanga ya njaa sio rahisi kuya kwepa
Sera za ujamaa huleta njaa bila kufeli
 
Back
Top Bottom