Ipi siri ya nchi ndogo ya Korea Kusini kuzalisha umeme mwingi wa Gigawatts 143?

Ipi siri ya nchi ndogo ya Korea Kusini kuzalisha umeme mwingi wa Gigawatts 143?

Kuna nchi zimetambua siri za viwanda mapema sana. Umeme na chuma ndiyo siri kubwa ya viwanda. Sisi tulitaka kuwa nchi ya viwanda kwa kuagiza vyerehani!!?
 
Sera za ujamaa huleta njaa bila kufeli
Baa la njaa la Kenya mpaka kusaidiwa na nchi inayojiita ya kijamaa Tanzania limesababishwa na ujamaa ?

Tumia akili zako kufikiri kwa hiyo kukosekana kwa mvua na ukame ni matokeo ya ujamaa
 
Baa la njaa la Kenya mpaka kusaidiwa na nchi inayojiita ya kijamaa Tanzania limesababishwa na ujamaa ?

Tumia akili zako kufikiri kwa hiyo kukosekana kwa mvua na ukame ni matokeo ya ujamaa
Njaa haina chanzo kimoja we kichwa maji.
 
Mbona nchi yao ndogo sana na wana viwanda vingi na exports nyingi. Wamewezaje eneo lao ni 100,410km². Mbona ni kama mikoa miwili tu ya Morogoro na Pwani. Halafu wana umeme mwingi mno.

Nashangaa mno, mpaka wanasaidia nchi za afrika. Hata Tanzania tusaidiwa na Korea na kukopeshwa matrillioni na korea kupitia shirika lao la Koica.

Hao wamewezaje?
Wao hawakumvamia mtu , ukivamia nchi ya watu halafu wenyewe hawataki na unawashirikisha kwenye utawala wa nchi yako unategemea kweli nchi yako itaendelea ???? katu , Hivyo ndivyo inavyoangamia Tanganyika
 
Wewe ni mpumbavu ndio maana akili zako za kipuuzi zinakutuma kuwa baa la njaa lina sababishwa na ujamaa akili za kipuuzi hizi kwa watu wapuuzi aina yako
Unaona ulivyo kichwa maji!! Umeambiwa njaa haina sababu moja. Sijui kama huwa unaelewa yanayoandikwa.
 
Unaona ulivyo kichwa maji!! Umeambiwa njaa haina sababu moja. Sijui kama huwa unaelewa yanayoandikwa.
Wewe ni mwendawazimu unakumbuka hata ulicho andika mwanzo ?

Kama unajua njaa haina sababu moja kwa nini uliandika utumbo ule mwanzo ? foolish
 
Wewe ni mwendawazimu unakumbuka hata ulicho andika mwanzo ?

Kama unajua njaa haina sababu moja kwa nini uliandika utumbo ule mwanzo ? foolish
Niliandika, "ujamaa husababisha njaa bila kufeli." Ila sidhani kama ulielewa.
 
Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Hawaibi Transformer 87 kisengerema km TANESCO kuendelea njaa tu wanakatakata umeme ovyo ovyo huku wanajiibia Transformer wenyewe alafu wanasema zimeibiwa, kaiba nani km sio nyinyi wenyewe mmejiibia?
 
Hao wamewezaje?
Hawana wizi wa kisengerema na kujilimbikizia Mali wana Sheria Kali za wote wanaofanya ubadhilifu wa Mali za Umma, hakuna kuchekeana na hakuna ushikaji ushikaji uliopitiliza ukizingua unawekwa pembeni upishe wengine wafanye kazi sio unasimamishwa alafu unarudishwa uje kuendelea kuvurunda
 
Mna hoja/maswali ya kitoto saana...unajua kabisa kiuchumi ata GDP(PPP) Korea kusini kazipita nchi nyingi saana zilizoendelea.. Canada wenyewe wamekimbizwa,Leo mnataka kuja kuilinganisha na Tanzania
Hoja yako ni ya kitoto sana

Hivi hiyo gesi ya mtwara ina faida gani mpaka Sasa?
 
Mbona kuna rundo la nchi ambazo ni washirika wa hilo dubwana kubwa na bado ni masikini wa kutupwa?

Suala la nchi kuendelea ni kutokana na utashi wa raia na viongozi wanao iongoza hiyo nchi na sio sababu ya Ushirika na nchi furani, yakwamba nchi iwe na raia au viongozi kama wa nchi yetu alafu utegemee iendelee kisa ina ushirika na Marekani?
Taja mshirika mkuu wa Marekani ambaye ni maskini. Mimi nimetaja washirika wake wakuu matajiri. Kwenye nchi saba zinazoongoza kwa kushirikiana na Marekani, mtaje maskini humo
 
Wewe ni mpumbavu ndio maana akili zako za kipuuzi zinakutuma kuwa baa la njaa lina sababishwa na ujamaa akili za kipuuzi hizi kwa watu wapuuzi aina yako
mkuu punguza mihemko , ujamaa ni sabab mojawapo ya sisi kurud nyuma , ujamaa unaundwa na serikali imara na sio kama hz za waramba asali , ndio maana Mwinyi alishindwa kuendana na ujamaa maana kwenye utawala wake rushwa ilikuwa juu
 
Wewe ni mwendawazimu unakumbuka hata ulicho andika mwanzo ?

Kama unajua njaa haina sababu moja kwa nini uliandika utumbo ule mwanzo ? foolish
kwan njaa ipo Tanganyika tu ? kazungumzia Tanganyika na sio Kenya , elewa mkuu., ubish wa kijinga haujeng
 
View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.

Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.

Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
100sqkm za mraba ndiyo nini?

Ibaki tu 100sqkm ama 100km za mraba.
Square ndiyo mraba.
 
View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.

Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.

Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Hao ni ngozi nyeupe sinatra hilo kwanza. Usijilinganishe nawewe ngozi nyeusi iliyobeba laana za uchawi,husuda,chuki,wivu,zinaa na wizi.
 
Taja mshirika mkuu wa Marekani ambaye ni maskini. Mimi nimetaja washirika wake wakuu matajiri. Kwenye nchi saba zinazoongoza kwa kushirikiana na Marekani, mtaje maskini humo
Kwa hiyo kwa akili zako unadhani Ujerumani , Ufaransa au Uingereza zimeendelea kwa sababu ya ushirika na Marekani?au hujui ya kuwa hizo nchi zimeendelea hata kabla ya huyo Marekani kupata Uhuru?
Mbona kuna rundo la nchi zisizo kuwa na ushirika na huyo Marekani na bado zimeendelea ?

Hapo jirani yetu kenya si ndo mshirika mkuu wa Marekani hapa Africa mashariki na kati tangu anapata uhuru, wana kipi cha ajabu zaidi ya njaa na umasikini uliokithiri?

Suala la nchi kuendelea au kutoendelea linatokana na utashi wa raia na viongozi wa nchi husika , huwezi kuwa nchi iliyo jaa aina ya raia na viongozi kama wa nchi yetu alafu utegemee eti nchi itaendelea hata kama ingekuwa na ushirika na yesu.
 
Safi kabisa, mwambie huyo zombie hata sisi ni washirika wakubwa wa Marekani na bado hata sukari inayotokana na miwa ni shida kwetu!
 
Back
Top Bottom