Huko hakuna ccm hivyo hicho sio kitu cha ajabu.View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Siri anayo mwijage na magufuliView attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Kuhusu suala la huo udikteta wa familia ya kina Kim siwezi pingana naweNorth Korea mpaka kesho watu wanataka kukimbia kwenda China wanazuiwa na serikali.
Wachache wanaokimbia wanasimulia maisha magumu na ya udikteta mkubwa huko NK.
Wapo.serious na mambo ya kitaifa na nchi Yao!View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
wewe unaweza kugeuza mchanga/ udongo kuwa mashine kama wenzako wa Korea? Anzia hapo kwanza kujiuliza.View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Korea Kusini si ndogo kihivyo. Ina ukubwa wa kilomita za mraba 100,210 na siyo 100.View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Duh! Wako vizuriKorea, Japan, China, US, Germany, Turkey, Uk, France ni industrial countries
Nimegugo Ukubwa wa Singapore ni 734.3 km². Ni kama kata moja na mkoa wa katavi. Hiyo nchi iko vizuriSingapore ni ndogo zaidi ya SK lakini hakuna nchi Afrika ipo meza moja kiuchumi na Singapore
Wanafua umeme kwa kutumia nishati ya Nyuklia ivo kiwango hicho cha umeme ni kawaida sanView attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Okay Mkuu, hapo hoja ni akili kubwaNimekupa majibu mawili hayo ya msingi.
Ukubwa wa nchi hauna tija kama huna nidhamu ya kuitumia hiyo nchi kubwa.
Pia, katika dunia hii ya viwanda na intellectual prpperty, huhitaji nchi kubwa sana kuendelea, unahitaji akili kubwa.
Word...Hakuna nchi inaweza kuendelea pasipo uhakika wa upatikanaji wa umeme. Ukuaji wa nchi unategemea ukuaji wa viwanda, ukuaji wa viwanda unategemea umeme wa uhakika.
Duh!USA 1,300,000 MW
India 426,000 MW
Japan 315,000 MW
Inawezekana hamna interest ya kutumia akili, mna interest ya kutumia nguvu kubwengana na kusema "nchi yetu kubwa..."Okay Mkuu, hapo hoja ni akili kubwa
Maana yake Tanzania tuna uhaba wa akili kubwa. Au tuna akili ndogo sana?
Inashangaza na kusikitisha mno. Bado tuna safari ndefu mnoInawezekana hamna interest ya kutumia akili, mna interest ya kutumia nguvu kubwengana na kusema "nchi yetu kubwa..."
View attachment 2896686
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Which is equal to Total failure kea nchi kubwa kama hii yenye kila aina ya rasilimali kila kona.Total capacity ya megawatt Tanzania ni 1600MW na bwawa la Nyerere likikamilika jumla tutakuwa na MW 3600.
Hizo 10,000 umezitoa wapi?
Kwa kifupi currently tunazo GW 1.6 kulinganisha na Korea mwenye 143GW.
Mkuu T14 Armata hizi ptopaganda zinazosambazwa na west unaziamini sana. North korea haipo hivyo kama tunavyoambiwa. Uonho jkirudiwa sana huwa ukweli.Huwezi kuwa mshirika wa lile dubwana kubwa alafu ukawa mjingamjinga. South Korea, Japan, Taiwan ni washirika wake na wote wako vizuri kiuchumi. Meanwhile, North Korea majirani na ndugu kabisa wa South Korea hawafikishi 8,000 MW wakiokolewa na kuwa na deposit ya makaa ya mawe, na wenye umeme nchi nzima hawafiki 60%
hahahaaaaaHawana tofauti na ccm na ni washirika. Wote wajamaa uchwara
hahahaaa Mama anafungua nchiMna hoja/maswali ya kitoto saana...unajua kabisa kiuchumi ata GDP(PPP) Korea kusini kazipita nchi nyingi saana zilizoendelea.. Canada wenyewe wamekimbizwa,Leo mnataka kuja kuilinganisha na Tanzania
Sera za ujamaa huleta njaa bila kufeliNacho fahamu janga la njaa NK lilitokea lakini si kwamba ndio maisha yao ya kila siku.
Tanzani miaka ya 60 jangwa la njaa lilitukumba mpaka kuomba msaada nje, China janga la njaa miaka ya 50 liliwakumba.
Majanga ya njaa huwa yanatokea katika mataifa mbalimbali na huwa yana sababu zake mara nyingi sana huwa sera kutokuleta matokeo tarajiwa au kutengeneza zaidi kilimo cha mvua.
Majanga ya njaa sio rahisi kuya kwepa