Embu rudia tena,Chirwa na Niyonzima ni nani aliibeba Yanga kuchukua ubingwa?Ukweli ni kwamba hao uliowataja wote ni wachezaji wa kiwango cha juu kwa mpira wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, ila Niyonzima na Msuva waliibeba timu mabegani mwao, hao waliobaki hawakuwa ktk ubora wao wa msimu uliopita.
Lkn uwanjani naendelea kuamini Simba ilikuwa bora zaidi, na ndio maana ni ngumu kuamini inataka kusajili 11 mpya kabisa!!!!!
Niyonzima na msuva tosha!!Hapa wanachama wanapaswa kuhoji....
Kwanini Simba wanahitaji kikosi kizima cha Yanga...
1. NIYONZIMA
2. NGOMA
3. MSUVA
4.CHIRWA
5.JUMA ABUL
Hao wote walishatajwa na Simba kwamba wanahitaji kwa msimu mpya wa Ligi..... Sasa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa,...
Ni kukomoana, Wachezaji wa Simba waliomaliza walikua wabovu,
Au ni ishara ya kukiri kwamba Yanga ilikua na wachezaji wenye uwezo walioweza kuwapa ubingwa Mara tatu mfulizo, nao wameona siri ya ubingwa ipo kwa wachezaji hawa?
Au Viongozi wanazima moto kwa wanachama wasahau kuhusu rufaa yao ya FIFA?
Ukweli ni kwamba hao uliowataja wote ni wachezaji wa kiwango cha juu kwa mpira wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, ila Niyonzima na Msuva waliibeba timu mabegani mwao, hao waliobaki hawakuwa ktk ubora wao wa msimu uliopita.
Lkn uwanjani naendelea kuamini Simba ilikuwa bora zaidi, na ndio maana ni ngumu kuamini inataka kusajili 11 mpya kabisa!!!!!
Umesahaauuu[emoji41]Hapa wanachama wanapaswa kuhoji....
Kwanini Simba wanahitaji kikosi kizima cha Yanga...
1. NIYONZIMA
2. NGOMA
3. MSUVA
4.CHIRWA
5.JUMA ABUL
Hao wote walishatajwa na Simba kwamba wanahitaji kwa msimu mpya wa Ligi..... Sasa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa,...
Ni kukomoana, Wachezaji wa Simba waliomaliza walikua wabovu,
Au ni ishara ya kukiri kwamba Yanga ilikua na wachezaji wenye uwezo walioweza kuwapa ubingwa Mara tatu mfulizo, nao wameona siri ya ubingwa ipo kwa wachezaji hawa?
Au Viongozi wanazima moto kwa wanachama wasahau kuhusu rufaa yao ya FIFA?
Ni kweli Simba haikuwa na haja ya kusajili kikosi kipya kabisa! Walikuwa na timu nzuri sana msimu huu! Shida ya Simba viongozi wake ni zero brain!Ukweli ni kwamba hao uliowataja wote ni wachezaji wa kiwango cha juu kwa mpira wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, ila Niyonzima na Msuva waliibeba timu mabegani mwao, hao waliobaki hawakuwa ktk ubora wao wa msimu uliopita.
Lkn uwanjani naendelea kuamini Simba ilikuwa bora zaidi, na ndio maana ni ngumu kuamini inataka kusajili 11 mpya kabisa!!!!!
Acha dharau wewe kwa nini unatukana viongoziNi kweli Simba haikuwa na haja ya kusajili kikosi kipya kabisa! Walikuwa na timu nzuri sana msimu huu! Shida ya Simba viongozi wake ni zero brain!
Mbumbumbu ni wewe na familia yako stupidKuiongoza Simba hauhitaji kuwa na akili nyingi,.. Wenyewe ni mambumbumbu....
Mnaweza kuwalipa? Baada ya deal la ngada kubuma ponjolo chaliiiiMuda ni mwalimu mzuri sana aisee nyinyi fanyen usajili mtuachie kamusoko na chirwa tu afu Ndo mtajua kwanini mpira unadunda
Hili sio kweli Ina maana ukimpeleka Messi Arsenal atahitaji miaka miwili kuzoeana na wenzake? Mchezaji mzuri anasoma mfumo kwa mda kidogo sanaWachezaji wengi wa Yanga wamecheza kwa pamoja zaidi ya miaka miwili,wametengeneza uelewano mzuri sana.
Simba kila msimu wanasajili wachezaji wapya zaidi ya watano,hao wachezaji watazoeana lini? Viongozi wa Simba ni vihiyo.