Ipi tafsiri sahihi ya Simba kukitaka kikosi cha Yanga...

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,735
Reaction score
5,974
Hapa wanachama wanapaswa kuhoji....
Kwanini Simba wanahitaji kikosi kizima cha Yanga...
1. NIYONZIMA
2. NGOMA
3. MSUVA
4.CHIRWA
5.JUMA ABUL

Hao wote walishatajwa na Simba kwamba wanahitaji kwa msimu mpya wa Ligi..... Sasa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa,...
Ni kukomoana, Wachezaji wa Simba waliomaliza walikua wabovu,
Au ni ishara ya kukiri kwamba Yanga ilikua na wachezaji wenye uwezo walioweza kuwapa ubingwa Mara tatu mfulizo, nao wameona siri ya ubingwa ipo kwa wachezaji hawa?
Au Viongozi wanazima moto kwa wanachama wasahau kuhusu rufaa yao ya FIFA?
 
Ukweli ni kwamba hao uliowataja wote ni wachezaji wa kiwango cha juu kwa mpira wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, ila Niyonzima na Msuva waliibeba timu mabegani mwao, hao waliobaki hawakuwa ktk ubora wao wa msimu uliopita.

Lkn uwanjani naendelea kuamini Simba ilikuwa bora zaidi, na ndio maana ni ngumu kuamini inataka kusajili 11 mpya kabisa!!!!!
 
Embu rudia tena,Chirwa na Niyonzima ni nani aliibeba Yanga kuchukua ubingwa?
 
Hapa wanachama wanapaswa kuhoji....
Kwanini Simba wanahitaji kikosi kizima cha Yanga...
1. NIYONZIMA
2. NGOMA
3. MSUVA
4.CHIRWA
5.JUMA ABUL

Hao wote walishatajwa na Simba kwamba wanahitaji kwa msimu mpya wa Ligi..... Sasa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa,...
Ni kukomoana, Wachezaji wa Simba waliomaliza walikua wabovu,
Au ni ishara ya kukiri kwamba Yanga ilikua na wachezaji wenye uwezo walioweza kuwapa ubingwa Mara tatu mfulizo, nao wameona siri ya ubingwa ipo kwa wachezaji hawa?
Au Viongozi wanazima moto kwa wanachama wasahau kuhusu rufaa yao ya FIFA?
Niyonzima na msuva tosha!!
 
Ukweli ni kwamba hao uliowataja wote ni wachezaji wa kiwango cha juu kwa mpira wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, ila Niyonzima na Msuva waliibeba timu mabegani mwao, hao waliobaki hawakuwa ktk ubora wao wa msimu uliopita.

Lkn uwanjani naendelea kuamini Simba ilikuwa bora zaidi, na ndio maana ni ngumu kuamini inataka kusajili 11 mpya kabisa!!!!!

Pia walicheza muda mrefu bila kulipwa so wanajituma sana
 
Hapa wanachama wanapaswa kuhoji....
Kwanini Simba wanahitaji kikosi kizima cha Yanga...
1. NIYONZIMA
2. NGOMA
3. MSUVA
4.CHIRWA
5.JUMA ABUL

Hao wote walishatajwa na Simba kwamba wanahitaji kwa msimu mpya wa Ligi..... Sasa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa,...
Ni kukomoana, Wachezaji wa Simba waliomaliza walikua wabovu,
Au ni ishara ya kukiri kwamba Yanga ilikua na wachezaji wenye uwezo walioweza kuwapa ubingwa Mara tatu mfulizo, nao wameona siri ya ubingwa ipo kwa wachezaji hawa?
Au Viongozi wanazima moto kwa wanachama wasahau kuhusu rufaa yao ya FIFA?
Umesahaauuu[emoji41]
 
Ukweli ni kwamba hao uliowataja wote ni wachezaji wa kiwango cha juu kwa mpira wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, ila Niyonzima na Msuva waliibeba timu mabegani mwao, hao waliobaki hawakuwa ktk ubora wao wa msimu uliopita.

Lkn uwanjani naendelea kuamini Simba ilikuwa bora zaidi, na ndio maana ni ngumu kuamini inataka kusajili 11 mpya kabisa!!!!!
Ni kweli Simba haikuwa na haja ya kusajili kikosi kipya kabisa! Walikuwa na timu nzuri sana msimu huu! Shida ya Simba viongozi wake ni zero brain!
 
Simba wanaamini kikosi kipya ndio siri ya mafanikio, ndio sababu kila msimu timu ina wachezaji wapya. Sijui wachezaji wanazoeana lini sasa? Maamuzi ya kukurupuka hayo
 
Acheni utani nyie kuna mtu kafunga goli muhimu kama Tambwe dhidi ya Toto african?

Kamusoko akiwa wapi?kuna kipindi haruna Kaenda kwao Rwanda amekaa karibia mwezi mzima lakini bado vijana walitusua.

Pongezi kwa timu nzima na sio mchezaji mmoja

Kama haruna kaenda let him Go Tugange yajayo

Wachukue wachezaj wote ila ngoja siku moja mmoja wao atoe pasi kwa adui akafunge ndo atajua nini maana ya kampa kampa tena
 
Hii ni kuikomoa Yanga tu wala si vinginevyo. Utaona wengi wa hao wachezaji wataenda kuwekwa benchi wakodoe mimacho tu. Jeuri ya pesa ndiyo ilotumika hapo. Ukiisha saini mkataba 2 yrs hata ukiomba kurudi yanga si bei inapanda? Kipawa kwisha
 
Ni kweli Simba haikuwa na haja ya kusajili kikosi kipya kabisa! Walikuwa na timu nzuri sana msimu huu! Shida ya Simba viongozi wake ni zero brain!
Kuiongoza Simba hauhitaji kuwa na akili nyingi,.. Wenyewe ni mambumbumbu....
 
Kuna kipindi Manji alisema ana uwezo wa kusajili wachezaji wote wa Simba.... Sasa ni wakati muafaka wa Simba kukibomoa kikosi cha Yanga....wakati mlipokuwa mnawachukua kina Yondani, Kaseja, Kessy, Tambwe mliona mna haki ya kufanya hivyo lkn sie tunashukuru goli tano hazikurudi. Na mkuki kwa nguruwe ni mtamu lkn kwa binadamu ni mchungu. daah Niyonzima amewaumiza sana Yanga mpaka na jezi mnachoma
 
Hapo kuna watu muhimu wawili tu. Msuva na Niyonzima, wengine ni kwaajili ya kuivuruga yanga.
 
Ni kweli Simba haikuwa na haja ya kusajili kikosi kipya kabisa! Walikuwa na timu nzuri sana msimu huu! Shida ya Simba viongozi wake ni zero brain!
Acha dharau wewe kwa nini unatukana viongozi
 
Muda ni mwalimu mzuri sana aisee nyinyi fanyen usajili mtuachie kamusoko na chirwa tu afu Ndo mtajua kwanini mpira unadunda
 
Wachezaji wengi wa Yanga wamecheza kwa pamoja zaidi ya miaka miwili,wametengeneza uelewano mzuri sana.
Simba kila msimu wanasajili wachezaji wapya zaidi ya watano,hao wachezaji watazoeana lini? Viongozi wa Simba ni vihiyo.
 
Mnaweza kuwalipa? Baada ya deal la ngada kubuma ponjolo chaliiii
 
Wachezaji wengi wa Yanga wamecheza kwa pamoja zaidi ya miaka miwili,wametengeneza uelewano mzuri sana.
Simba kila msimu wanasajili wachezaji wapya zaidi ya watano,hao wachezaji watazoeana lini? Viongozi wa Simba ni vihiyo.
Hili sio kweli Ina maana ukimpeleka Messi Arsenal atahitaji miaka miwili kuzoeana na wenzake? Mchezaji mzuri anasoma mfumo kwa mda kidogo sana
 
Back
Top Bottom