Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
Hapa wanachama wanapaswa kuhoji....
Kwanini Simba wanahitaji kikosi kizima cha Yanga...
1. NIYONZIMA
2. NGOMA
3. MSUVA
4.CHIRWA
5.JUMA ABUL
Hao wote walishatajwa na Simba kwamba wanahitaji kwa msimu mpya wa Ligi..... Sasa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa,...
Ni kukomoana, Wachezaji wa Simba waliomaliza walikua wabovu,
Au ni ishara ya kukiri kwamba Yanga ilikua na wachezaji wenye uwezo walioweza kuwapa ubingwa Mara tatu mfulizo, nao wameona siri ya ubingwa ipo kwa wachezaji hawa?
Au Viongozi wanazima moto kwa wanachama wasahau kuhusu rufaa yao ya FIFA?