Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Yes!kwahiyo idara ni kitengo?
Kwenye Taasisi utakuta Kuna Idara ya Habari, idara ya Uhasibu n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes!kwahiyo idara ni kitengo?
Institute and Department, Institute is Large in Size and sometimes department are within Institute while Department the vice versa is truenaomba kujua tofauti ya
Taasisi na
Idara
Maskini inatakiwa usaidiwe ila acha kujitia ujuaji! Taasisi ni kitu kikubwa na idara zipo chini ya taasisi! Kwa Mwanaume acha kujiangusha! Ukiwa a swali isiulize kila mtunaomba kujua tofauti ya
Taasisi na
Idara
Hapana sio kweli. Mbona TANESCO ni shirika la umeme tanzania lakini kwa kiingereza ni Tanzania Electric supply COMPANYShirika ni ORGANISATION
Kampuni ni COMPANY
Unamaanisha nn madame??Kampuni ni Kingereza cha shirika.
Wakuu,
Naomba kujuzwa tofauti kati ya shirika na kampuni.
Ahsante
Unamaanisha nn madame??
Dadavua
Ni kama nakuelewa hv kwamba hakuna neno kampuni kwenye kiswahili??Kampuni ni neno la Kingereza "company" lenye maana kushirikiana.
Shirika ni neno la Kiswahili lililotokana na Kiarabu linalomaanisha kushirikiana.
Nadhani imefahamika maana mimi si mkalimani, najitahidi tu.
Ni kama nakuelewa hv kwamba hakuna neno kampuni kwenye kiswahili??
Ila
Company in english
shirika kwa kiswahili
Je waweza nambia organization kwa kiswahili tunaitaje??
Kitengo hua ndani ya idarakwahiyo idara ni kitengo?
hao ndiyo wasomi wetu.Shirika ni ORGANISATION
Kampuni ni COMPANY
aisee...Kitengo hua ndani ya idara
Nacheka tu jibu lakoHapana sio kweli. Mbona TANESCO ni shirika la umeme tanzania lakini kwa kiingereza ni Tanzania Electric supply COMPANY
Umeonaèe hatutaki ujinga[emoji1] [emoji1]hao ndiyo wasomi wetu.
Hizo ni tafasiri kwa lugha ya kigeni, swali lake halijajibiwa.Shirika ni ORGANISATION
Kampuni ni COMPANY
umetupa kazi sasa ila ukipitia BRELA ndio unaweza kujua zaidiWakuu,
Naomba kujuzwa tofauti kati ya shirika na kampuni.Ahsante