Ipi tofauti kati ya shirika na kampuni?

Ipi tofauti kati ya shirika na kampuni?

naomba kujua tofauti ya
Taasisi na
Idara
Institute and Department, Institute is Large in Size and sometimes department are within Institute while Department the vice versa is true
 
Wakuu,

Naomba kujuzwa tofauti kati ya shirika na kampuni.

Ahsante

kufanya biashara kwa mtindo wa mtu binafsi =hapa ndo unapata jina kampuni huyu ni mtu mmoja anajiendesha mwenyewe hapat ruzuku.



kufanya biashara kwa mtindo wa shirika ( firm)/ubia.

Hapa ni mtu zaidi ya mmoja au kundi wanasaidiana na anapata ruzuku mifano ndo hayo mashirika ya umma yanapata pesa serikalin yani ruzuku na yenyewe yanafanya biashara.
 
Unamaanisha nn madame??

Dadavua

Kampuni ni neno la Kingereza "company" lenye maana kushirikiana.

Shirika ni neno la Kiswahili lililotokana na Kiarabu linalomaanisha kushirikiana.

Nadhani imefahamika maana mimi si mkalimani, najitahidi tu.
 
Kampuni ni neno la Kingereza "company" lenye maana kushirikiana.

Shirika ni neno la Kiswahili lililotokana na Kiarabu linalomaanisha kushirikiana.

Nadhani imefahamika maana mimi si mkalimani, najitahidi tu.
Ni kama nakuelewa hv kwamba hakuna neno kampuni kwenye kiswahili??
Ila
Company in english
shirika kwa kiswahili

Je waweza nambia organization kwa kiswahili tunaitaje??
 
Ni kama nakuelewa hv kwamba hakuna neno kampuni kwenye kiswahili??
Ila
Company in english
shirika kwa kiswahili

Je waweza nambia organization kwa kiswahili tunaitaje??

Oganaizeshen.

Hutafsiriwa "shirika" kwa Kiswahili sanifu.
 
Shirika ni muungano wa watu,au jamii flani wenye malengo ya kuendesha biashara au huduma flani katika jamii.Hii ikiwa imefuata taratibu zote za kisheria.Kampuni ni muungano wawatu kuazia wawili au zaidi,Kwamjibu wa sheria,ambayo itakuwepu kwa malengo ya kibiashara au kutoa huduma flani.
 
Tumeelimishwa vya kutosha, kuhusu tafasiri na chimbuko la maneno kampuni na Shiraka, lakini mleta uzi anaomba kujua tofauti zake. Mko wapi wajuzi ?
 
Wakuu,
Naomba kujuzwa tofauti kati ya shirika na kampuni.Ahsante
umetupa kazi sasa ila ukipitia BRELA ndio unaweza kujua zaidi
mm ninavyojua

A company is any form of business whether it is small or large.
Generally the term "company" indicates a particular kind of business dealing in a specific product.
An organisation is the larger form and generally comprises of a
number of companies. Simply, a company is an organization, but an organization is not just a company.


Kwa kifupi nitumie mifano iliyopita ya TTCL naTP&TC
TTCL ni Kampuni linalojishughulisha na mawasiliano ya simu tu (teleghraph, internet nk
TP&TC Tanzania Post Telecommunication hili ni shirika la Posta na simu kwa sababu lilikuwa na kazi zaidi ya moja zisizofanana na lingeweza kuziongezea
Mfano mwingine TCC Kampuni ya sigara tu haihusiani na kampini ya Bii
huwezi sema kampuni ya Reli kwa kuwa inashughulika na vitu vingi mpaka meli,
km nado sema
 
Back
Top Bottom