Ipi tofauti ya kiwanja cha makazi na biashara na makazi pekee?

Ipi tofauti ya kiwanja cha makazi na biashara na makazi pekee?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwenye kumilikishwa viwanja kuna hati za aina mbili:

1. Makazi pekee.

2. Makazi na biashara.

Na hata umilikishwaji wake una gharama tofauti cha biashara na makazi kina gharama zaidi per squre meter je?

Tofauti ni ipi na faida ni zipi?
 
Kipi ni kiwanja bora zaidi? Na je cha makazi na biashara usipoweka biashara inakuwaje?
 
Mbona uzi hauchangiwi? Kweli nyie matanzania ni majinga mambo ya ardhi hamyapi kipaumbele ila nyuzi za kina shilole ndio mnapenda.
 
Back
Top Bottom