Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

Kitimoto ni mtamu kuliko kuku na ng'ombe Kwa sababu ukila kitimoto unasikia utamu wa kuku+ng'ombe pamoja na utamu wa kitimoto yenyewe. Kwa hiyo mtoa maada jua kitimoto ni 3 in one
 
Kwanini mtu akiagiza chakula na nyama, by default analetewa nyama ya ng'ombe haulizwi nyama gani, ni kama mbuzi, kuku na samaki siyo nyama ati
 
Back
Top Bottom