Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Leseni zinasema bar ifunguliwe saa 10 jioni mpaka saa 5 usiku kwa siku za J3-Ijumaa na Jumamosi na Jumapili saa 8 mchana mpaka saa 6 usiku.
Nashauri leseni ziruhusu kunywa pombe masaa yote Isipokuwa kwa staha maalumu, namaanisha kwa masaa kabla ya saa kumi pombe zinywewe ndani ya bar au mahala ambapo mnywaji hataonekana na kadamnasi au hatukuwa katika hadhara za kadamnasi, itakapotimu saa kumi ndio iwe ruhusa watu kujivinjari na vinywaji vyao huku wakionekana na kadamnasi au hadhara.
Reasons:-
Kila mtanzania anamasaa yake ya kwenda kuwajibika katika kujitafutia riziki, Tupo ambao ni walinzi ambao muda wetu wa kujivinjari ni mchana tu, wapo wenye shifts zao viwandani ambao huingia kazini usiku, wakulima wao hujipangia muda wao wenyewe alkadhalika wafanyabiashara ni kada zinazojipangia muda kutegemeana na jukumu lililopo.
TBL awali kilikuwa ndicho kiwanda tegemewa kimapato kwa serekali.
"TBL & SERENGETI BREWERIES, NOURISH YOUR LIVES"