Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu,
Pia ni hekima michango hii ikawa inakatwa kodi fulani fulani let say 30%,ili fedha hizo zitumike katika maswala ya kimaendeleo.
Maadui wa taifa letu wapo macho kuliko tunavyoweza kuzania, taifa liwe makini sana.
#Mpenda_taifa_lake!