Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #41
Type of money laundering,Money laundering
Fedha ina kanuni zake, wenzetu wanatumia Donate to ###, lakini inakuwa na vigezo fulani, labda kuna mgonjwa, au maswahaba fulani fulani, neno #DONATE
Donate za wenzetu huwa na limit, mtu anashida ya $3000 kwa matibabu.
wataalamu wa fedha karibuni hapa!, mtufafanulie.