Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Dunia kote vyama siasa vinategemea michango wazungu wanaiita fund raising ili kufanya kazi yao hata uchaguzi wa marekani trump na kama walichangiwa sanaWaanze na saadaka za makanisani kuna watu ni mabilionea leo kwa hizi sadaka wanabaki kujenga majumba kununua apartment na magari ya kifahari.mimi naona chadema wamechangisha only this time na ni wanajenga platform ya mapato is not bad as wana usajili.lkn kuna manabii kina mwamposa kuhani nani yule sijui na wengineo swala la michango ni endelevu yaan 24 hours pale kwenye TV zina pop up meseji za kutoa sadaka kupitia mpesa tigopesa na lipa namba na ni mpaka nje ya nchi wanatoa si hao pia walipe kodi???
unataka kukibana chama cha siasa kwenye michango unataka kiendeshwaje point ya mleta uzi ni namna ya kuwakomoa chadema na sio vinginevyo yaani maisha ya mwafrika yapo katika hali ya kukomoana watu wanaroho nyeusi