Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Haha pole sana. Kila transaction inakatwa kodi , why ikatwe kod mara mbili?Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu,
Pia ni hekima michango hii ikawa inakatwa kodi fulani fulani let say 30%,ili fedha hizo zitumike katika maswala ya kimaendeleo.
Maadui wa taifa letu wapo macho kuliko tunavyoweza kuzania, taifa liwe makini sana.
#Mpenda_taifa_lake!
Kodi katika mfuko mkuu wa michango husika! 30%!Haha pole sana. Kila transaction inakatwa kodi , why ikatwe kod mara mbili?
Fikiria nimeomba michango kwa ajili ya matibabu au kutumia kwenye mradi kutokana na tafiti yangu...inakatwa kodi nyingine kwasababu gani?Kodi katika mfuko mkuu wa michango husika! 30%!
Kodi kwenye mambo yasiyo ya kuingiza kipato hakuna. Kodi inakatwa kwenye kipato ulichoingiza. Ikiwa ushauri wako utafuatwa basi hata rambirambi itabidi zikatwe kodi. Kumbuka pia miamala yote ya kifedha inakatwa kodi pamoja na tozo. Hiyo 30% unayosema itakuwa ni unyang'anyi.Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu,
Pia ni hekima michango hii ikawa inakatwa kodi fulani fulani let say 30%,ili fedha hizo zitumike katika maswala ya kimaendeleo.
Maadui wa taifa letu wapo macho kuliko tunavyoweza kuzania, taifa liwe makini sana.
#Mpenda_taifa_lake!
uNataka tuwe na double taxation...Kutuma Tu Hela kuna makato,bado kutoa alafu Kutuma jasho lako uombe tenah Mtu Kati akulambe Kodi tenah ...hii Mada umefikiria mara mbili kabla ya kuiandika kwlHili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu,
Pia ni hekima michango hii ikawa inakatwa kodi fulani fulani let say 30%,ili fedha hizo zitumike katika maswala ya kimaendeleo.
Maadui wa taifa letu wapo macho kuliko tunavyoweza kuzania, taifa liwe makini sana.
#Mpenda_taifa_lake!
Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu,

Huyo kada wa chama hajui hata maana ya Kodi! Bahati mbaya watu wa dizaini (chawa) hii ndio washauri wa viongozi wengi serikalini.Kodi kwenye mambo yasiyo ya kuingiza kipato hakuna. Kodi inakatwa kwenye kipato ulichoingiza. Ikiwa ushauri wako utafuatwa basi hata rambirambi itabidi zikatwe kodi. Kumbuka pia miamala yote ya kifedha inakatwa kodi pamoja na tozo. Hiyo 30% unayosema itakuwa ni unyang'anyi.
PumbaHili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu,
Pia ni hekima michango hii ikawa inakatwa kodi fulani fulani let say 30%,ili fedha hizo zitumike katika maswala ya kimaendeleo.
Maadui wa taifa letu wapo macho kuliko tunavyoweza kuzania, taifa liwe makini sana.
#Mpenda_taifa_lake!
Huyo jamaa ana chembe chembe za uchawa si bure.Kodi kwenye mambo yasiyo ya kuingiza kipato hakuna. Kodi inakatwa kwenye kipato ulichoingiza. Ikiwa ushauri wako utafuatwa basi hata rambirambi itabidi zikatwe kodi. Kumbuka pia miamala yote ya kifedha inakatwa kodi pamoja na tozo. Hiyo 30% unayosema itakuwa ni unyang'anyi.
""MICHANGO INAYOZIHUSU TAASISI KWA UMMA"Fikiria nimeomba michango kwa ajili ya matibabu au kutumia kwenye mradi kutokana na tafiti yangu...inakatwa kodi nyingine kwasababu gani?
Kashauri mamlaka zianze mwamposa waziri wa maombezi na chawa kiongozi, then tuendelee na wengine...Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu,
Pia ni hekima michango hii ikawa inakatwa kodi fulani fulani let say 30%,ili fedha hizo zitumike katika maswala ya kimaendeleo.
Maadui wa taifa letu wapo macho kuliko tunavyoweza kuzania, taifa liwe makini sana.
#Mpenda_taifa_lake!
Malengo ya taasisi za kidini huwa hayana nia ovu, ukilinganisha na taasisi za kisiasa, just imagine, watu wanaomba michango ili waje kuzuia uchaguzi halali, #UnaceptableKashauri mamlaka zianze mwamposa waziri wa maombezi na chawa kiongozi, then tuendelee na wengine...
Waanze na saadaka za makanisani kuna watu ni mabilionea leo kwa hizi sadaka wanabaki kujenga majumba kununua apartment na magari ya kifahari.mimi naona chadema wamechangisha only this time na ni wanajenga platform ya mapato is not bad as wana usajili.lkn kuna manabii kina mwamposa kuhani nani yule sijui na wengineo swala la michango ni endelevu yaan 24 hours pale kwenye TV zina pop up meseji za kutoa sadaka kupitia mpesa tigopesa na lipa namba na ni mpaka nje ya nchi wanatoa si hao pia walipe kodi???Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu,