lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Wewe ujinga utakutoka lini?kwahiyo Gambo ndiyo Role Model wako? Akili za Bavicha bwana.
Sijui kama atasahaulika huyu mtu, tutawasimulia hadi vitukuu...I
Ilitakiwa CCM ndio watuombe msamaha kwa niaba ya Jiwe kutokana na Mateso aliyotufanyia mtu wao,sio sisi tumsamehe Yeye wakati ametuachia makovu.
Hamna muovu na dhalimu anayeweza kwenda mbinguni.Umuombee msamaha kwa nani wakati amepumzika mbinguni kwa baba baada ya kumaliza kazi yake.. Haya ni ya kiroho zaidi na wewe huwezi kuyajua.. Labda upate mtu aliyefunuliwa akuelezee.. Vinginevyo utaendelea kuishi na jinamizi na kujitesa wakati unayemchukia huna uwezo wala mamlaka naye..
Magufuli bado anaishi tena mioyoni mwa watanzania wengi naona waliokuwa wanamuonea WIVU bado wanahangaika kutaka kufuta legacy yake lakini wamekwama,watanzania walilia kwa uchungu kutoka moyoni.Sijui kama atasahaulika huyu mtu, tutawasimulia hadi vitukuu...
Wewe kama ulimlilia kwa uchungu haya, mimi sina uchungu....Magufuli bado anaishi tena mioyoni mwa watanzania wengi naona waliokuwa wanamuonea WIVU bado wanahangaika kutaka kufuta legacy yake lakini wamekwama,watanzania walilia kwa uchungu kutoka moyoni.
Ukisha-fogeti uta-fogivu nini sasa?? Hatuwezi kufogeti tunatakiwa tukumbushane ili tusirudie kuchagua alichosema Lissu "kiongozi waajabu haijawahi kutokea" kufogivu tunamwachia Mungu maana kunawengi walioumizwa sana huwezi kuwasemea msamaha kijumlajumlaforget n forgive
We pambana na CDM, niache mimi nipambane na misukule ya mwendakuzimu.Ha ha ha pale unapotafunwa na kauli zako mwenyewe Ame amekuumbua unabaki kupindua maneno tu,safari hii CCM wanawachezesha ngoma ya mdumange CDM sasa hivi mnademka mtu na beat za Samia.
Majukumu gani?katiba yenyewe alikua haifwatiKwa kosa gani? Huo msamaha baki nao mwenyewe. Alitimiza majukumu yake ya kikatiba na kuleta maaendeleo kwa spidi kubwa hadi kifo kilipomchukua. Staili yake ya uongozi haikuwa ya blabla na maneno matamu mliyozoeshwa bali vitendo vyenye matokeo tu.
tulimlilia wengi kwa taarifa yako tu na hatosahaulika for your information,alimuuwa bibi yako?😕Wewe kama ulimlilia kwa uchungu haya, mimi sina uchungu....
Legacy unaongelea? Kuua?
Hilo halitusunbui sana. Hata ile eapoti tutamwambia mama aijengee tiles ili muanike mahindi yenu na ng'ombe zenu zipate sehemu ya kuota jua. Ila kuja kutufokea huku town ndo msahau tena....
BTW kaka yenu Bashite ng'ombe wake wako salama? Hana tena kazi ya kufokea watu mjini
Uko sahihi kabisa. Hata shetani hajawahi kusahaulika makanisanitulimlilia wengi kwa taarifa yako tu na hatosahaulika for your information,alimuuwa bibi yako?😕
JKama imekuuma, kunywa sumu nawe tukuzike.
We binti usiye na nidhamu bado upo?Wewe kama ulimlilia kwa uchungu haya, mimi sina uchungu....
Legacy unaongelea? Kuua?
Ikiuma chomoa, kama vipi kunywa sumu tukakuzike pembeni ya mwendakuzimu...We jizi la vyeti hauna nafasi kwenye ajira ya serikali.
Soma kwa bidii upate vyeti halali na wewe ujidai kama wasomi wengine badala ya kulia lia na kutaka kupewa vyeti vya dezo dezo.
Siku hizi kuna MEMKWA na QT, hata uwe zee lenye midevu unapiga shule tu. Hakuna aibu wala kujificha ficha.
Unataka kuteleza na mavyeti feki bila taaluma lazima wakubandue tu.
Shetani kila siku anazungumziwa makanisani. Inaelekea wakristo wanampenda sana...Aibu yenu JPM bado yuko akilini mwenu inaonekana mlimpenda sana ndo mana kutwa mnamjadili.
Kwa ile roho hakika hatosahaulika, endelea kumlilia, nenda kagale gale kwenye kibanda umiza....tulimlilia wengi kwa taarifa yako tu na hatosahaulika for your information,alimuuwa bibi yako?😕
Ndiyo [emoji23][emoji23][emoji23]Kupitia wakina Sabaya na Bashite