Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Utazikwa wewe mwizi wa vyeti usiye na ajira.Ikiuma chomoa, kama vipi kunywa sumu tukakuzike pembeni ya mwendakuzimu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na walioko JF na twitter hawako mitaani.... wako Malinyi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] speed governor na regulatorNdugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Kwa ile roho hakika hatosahaulika
Huko mtaani kuna watu wajinga waliopigwa na umaskini na akili zikapauka ni kama nyumbu tuuLawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.
Wajinga gani hao? Vyeti fake, wasiolipa kodi, mafisadi, majizi, nk tumbua tumbua, [emoji23][emoji23][emoji23]Alitengeneza wajinga wengi sana ndiyo walio mtaani
Kwani mafuta ni alizeti tuu?Lita moja ya Mafuta ya alizeti, double refined ( yasiyo na harufu). Imetoka SHS 4500 Hadi 9000.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]toka jpm amekufa huyu mzee,mshana,na wengine wameambujizwa ule ujinga wa duggai.halafu yeye akapona.
[emoji23][emoji23][emoji23] nampenda alikua mkweli bhana, hapindishi kitu.Alikua ana vichambo na mipasho utadhani MAZARAMO[emoji116]View attachment 1819361
Hahaha kumbe ulikua unamkubali Magufuli, hadi kutaka awe waziri mkuu, sasa JAH alisikia ombi lako akampa urais kabisa.Niliomba waongoze kwa miezi mitano. Bahati mbaya niliyeomba awe Rais hajawa. Badala yake tukampa kichaa niliyetaka awe waziri mkuu... kwa miezi mitano tu
Alipiga risasi kina naniMaendeleo gani alileta zaidi ya kuua na kupiga risasi watu. Vijana kuwanyima ajira kisa ushamba wa kununua ndege ambapo mpaka marekani walimshangaa kuua watu kisa ndege. Haku a nchi yoyote duniani tajiri inayoweza kununua ndege cash tena zaidi ya kumi halafu watu wanakufa njaa na budget ya nchi ni 39. 5 trillion yote unahamishia kwenye ndege.
Mungu ametusaidi sasa hivi ajira nii za kumwaga hasa private sector imerudi kwenye mstari
Hapo tulipigwaWajinga gani hao? Vyeti fake, wasiolipa kodi, mafisadi, majizi, nk tumbua tumbua, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yule baba hapan kwa kweli, watu 60mil aliwaweka mfukoni lol.
Hapana Tz inahitaji kiongozi aina ya Magufuli.Hapo tulipigwa
Haitotolea milele.Hakuna aliyewahi chezea taifa akabaki salama soma historiaHapana Tz inahitaji kiongozi aina ya Magufuli.
Hakuna uyo Mimi hapana ata alivyoenda naona ni Mungu tu aliamuaHapana Tz inahitaji kiongozi aina ya Magufuli.
Hapana hakuna aliponigusa hata chemba. Aliniudhi kwa utawala wake wa kibaguzi na kifashisti. Nikimkumbuka ndugu yangu Ben Saanane na Tundu Lissu alivyocharangwa risasi... aah napata uchungu sana...Hahaha kumbe ulikua unamkubali Magufuli, hadi kutaka awe waziri mkuu, sasa JAH alisikia ombi lako akampa urais kabisa.
Kwa namna 1 ama nyingine lazima kuna angle yako Magufuli aliigusa na kuharibu, ndo maan umekua na chuki nae kiasi hiki.
Leo ndio nimejua sasa.
Mmmh babuuj punguza chuki na husda, muombee mema mpendwa apumzike salama.
Sasa nani kachezea Taifa?Haitotolea milele.Hakuna aliyewahi chezea taifa akabaki salama soma historia
Kila binadamu ana mapungufu na madhaifu yake, tumsamehe kwa mambo hayo.Hapana hakuna aliponigusa hata chemba. Aliniudhi kwa utawala wake wa kibaguzi na kifashisti. Nikimkumbuka ndugu yangu Ben Saanane na Tundu Lissu alivyocharangwa risasi... aah napata uchungu sana...
BTW kwa taarifa yako bibi yenu nampenda sana ujue. Lakini siku nikishuhudia kachepuka, namgeuka fasta tu mbona...