rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Waislamu ni watu wastaarabu Sana, nimeishi nao. Ukipata tatizo la kijamii wanakuja kwa haraka kusaidia iwe msiba au sherehe. Tatizo ni wale wanaojifanya wafia dini kutimiza malengo yao na wengi wao elimu ni ndogo ndio maana ni rahisi kurubuniwawaislam ni watu wa hovyo sana