Ipo sababu ya Hamas kumuua Joshua kikatili?

Ipo sababu ya Hamas kumuua Joshua kikatili?

waislam ni watu wa hovyo sana
Joshua ni mmoja kati ya watu zaid ya elf 30 walioua pasi na kuwa na hatia yeyote ukanda wa Ghaza na Israel kwa jumla

ila kwa unafiki umechagua mmoja kumlilia na kuacha maelfu wengine wanaoendelea kuuawa pasi na hatia

Mtu asie na hatia akiuawa unapaswa kulaani na kuumia bila ya kuangalia nani kaua

Waliouawa kwa kuvamia ndani ya Israel walifanya makosa kama ambavyo Israel inaendelea kuuwa na kwa namna ile ile ya uonevu ndivyo alivyouawa Joshua

ukilaani mauaji kwa kuangalia kwanza nani kauwa tambua huitendei haki akili yako kubwa uliyoruzukiwa na Mola wako na badala yake unaruhusu hisia zitawale akili yako

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kulia hapohapo Kwa shemeji Yako!

Wakati Ben saa8, Azory Akwlina, Alphonse, Lwajabe , Kanguye nk wanapotea ulilia mara ngapi,unamuonea huruma aliyefia uwanja wa vita wakati aliyefia uwanja wa amani hujamuonea huruma!

Acha unafiki mbumbumbu wewe!
Kheeeee
 
Sababu ni Mkristo...

Hakuna mateka wakkristo walioachiwa huru?

Hawa nao je walikuwa waislam?

IMG_20231220_050916.jpg

IMG_20231220_051036.jpg

Vita vya kidini mnaviokota wapi?
 
Waislamu ni watu wastaarabu Sana, nimeishi nao. Ukipata tatizo la kijamii wanakuja kwa haraka kusaidia iwe msiba au sherehe. Tatizo ni wale wanaojifanya wafia dini kutimiza malengo yao na wengi wao elimu ni ndogo ndio maana ni rahisi kurubuniwa
Ndio Waislamu hao....na hiyo ni moja ya Ustaarabu wao.

Wanaita Jahadi sijui...
 
Endelea kulia hapohapo Kwa shemeji Yako!

Wakati Ben saa8, Azory Akwlina, Alphonse, Lwajabe , Kanguye nk wanapotea ulilia mara ngapi,unamuonea huruma aliyefia uwanja wa vita wakati aliyefia uwanja wa amani hujamuonea huruma!

Acha unafiki mbumbumbu wewe!
kwan Mollel ndo aliwaua hao watu ? hv una akili kwel ? waislam mtakuwa mnamuabudu shetan sio bure
 
1. Mkuu HAMAS walimfuata Joshua nje ya maeneo wanayopigania kuyakomboa?

2. Una uhakika gani kuwa Joshua kafa au kauliwa?

3. Una uhakika gani kama kafa kauliwa na HAMAS

4. Kulikoni tusijikite kumwombea ndugu yetu kurudi salama?

5. Kulikoni tusilaani mauaji na dhuluma kwa wasio na hatia wote huko mashariki ya kati?
kwan Joshua anajuwa migogoro yao hao israel vs Arabs ? je anahusikaje na migogori yao ? kwann wasiwekeze nguvu kuwashika waisrael?
 
Sio kweli kabisa, epukana na chuki mkuu
dini ya kishetan imeleeta matatizo dunian kote hapo msumbiji , drc , Uganda na Kenya hata tz tumekutana na matukio ya kigaidi yaliyofanywa na wahuni wa hii dini
 
Kwa barometer au kipimo kipi tukawajaribu na IDF hapo?
Ila wajukuu zetu watatushangaa sana umepewa jina la kiarab umesahau kuwa ww ni muafrika na unajihis mwarab sasa , waarab wakikuona wanakuona ni muafrika tu mwenyr kiherehere
 
Endelea kulia hapohapo Kwa shemeji Yako!

Wakati Ben saa8, Azory Akwlina, Alphonse, Lwajabe , Kanguye nk wanapotea ulilia mara ngapi,unamuonea huruma aliyefia uwanja wa vita wakati aliyefia uwanja wa amani hujamuonea huruma!

Acha unafiki mbumbumbu wewe!
We jamaa jinga sana...unamuamulia mtu Alie kwenye kifo cha mtu....yeye kasema kalia kwa huyo aliyeuliwa na Hamas...Mengine hajayaongelea.
Wewe ndio utakuwa unakaa kwa shemeji yako na kukubandua anakubandua itakuwa
 
Nimelia sana hadi machozi yameisha. Nimekuja kuamini kuwa Hamas ni magaidi na wanapaswa kuangamizwa, nimejitahidi kuulizia kama kuna connection kwenda kusaidia kuwaangamiza Hamas lakini nimekosa.
Naomba serikali itoe tamko kama Hamas ni magaidi au la! Maana naona nchi imetulia kama hamna kilichotokea
Huoni wapalestina wanavyouawa na israel wewe umeona huyo Mmoja tu
 
Endelea kulia hapohapo Kwa shemeji Yako!

Wakati Ben saa8, Azory Akwlina, Alphonse, Lwajabe , Kanguye nk wanapotea ulilia mara ngapi,unamuonea huruma aliyefia uwanja wa vita wakati aliyefia uwanja wa amani hujamuonea huruma!

Acha unafiki mbumbumbu wewe!
Well said
 
Huoni wapalestina wanavyouawa na israel wewe umeona huyo Mmoja tu
Sisapoti walichokifanya hamas ila kifo cha Mollel kimeonesha ni jinsi gani wanavyoumia ndugu, raia wa wanaouwawa kwenye vita bila hatia. Hii vita sina upande na siwezi shabikia vita kamwe kwa sababu wanaodhurika zaidi ni watu wasio na hatia.

Tujiulize maswali watoto wamekosea nini hadi kuuliwa kikatili? Maelfu ya raia yamekosea nini adi iwe hivyo pia? Ustaarabu na utu uko wapi mpaka hayo yote yanatokea alafu kuna watu wanashabikia haya, imekuja upande wetu kwa kugharimu maisha ya wachache ndio tunashtuka yale yanayoendelea sio ya kushabikia.

R I P Joshua Mollel
 
2. Una uhakika gani kuwa Joshua kafa au kauliwa?
Hujaoona taarifa ya Serikali kwa umma? Maana yake familia ya Joshua ishathibitishiwa kabla.

Pia video iliyotoka bado hujaamini? Una taaifa mbadala na hizo zilitolewa?
 
Joshua ni mmoja kati ya watu zaid ya elf 30 walioua pasi na kuwa na hatia yeyote ukanda wa Ghaza na Israel kwa jumla

ila kwa unafiki umechagua mmoja kumlilia na kuacha maelfu wengine wanaoendelea kuuawa pasi na hatia

Mtu asie na hatia akiuawa unapaswa kulaani na kuumia bila ya kuangalia nani kaua

Waliouawa kwa kuvamia ndani ya Israel walifanya makosa kama ambavyo Israel inaendelea kuuwa na kwa namna ile ile ya uonevu ndivyo alivyouawa Joshua

ukilaani mauaji kwa kuangalia kwanza nani kauwa tambua huitendei haki akili yako kubwa uliyoruzukiwa na Mola wako na badala yake unaruhusu hisia zitawale akili yako

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Kaka, kuna kitu kinaitwa nationalism au uzalendo. Hii humaanisha mtu anakuwa na upendo wa nchi yake kuliko nchi nyingine. Inapotokea raia wa nchi yake ameuawa katika nchi ya ugeni hupata huzuni isiyo kifani na hata huwa tayari kufanya lolote ile alipize kisasi cha jama yake (his countryman) kuuawa.

Mfano. Kama Serikali yetu ingetaka kulipiza kisasi cha kuuawa kwa Joshua Mollel, kama taarifa za kuuawa kwake ni sahihi, ingeingia vitani dhidi ya Hamas kwa sababu ya kumuua mtanzania na siyo kwa sababu Hamas wanaua raia wa nchi zingine. Hivyo sioni kosa kwa watanzania wenzangu kuumizwa na kitendo cha Joshua Mollel kuuawa.
 
Back
Top Bottom