Ipo sababu ya Hamas kumuua Joshua kikatili?

lakini huyo mtanzania Joshua aliyeenda katika mafunzo ya kijeshi kwa mwavulinwa kilimo alikubali kuwa frontline kuuwa wanawake na watoto ambao hawapigani na tanzania
 
Taarifa rasmi ni kwamba alienda kwa ajili ya kujifunza kilimo, hizo taarifa zingine sijui.
Kuna watu wanatafuta sababu za kuhalalisha kifo chake, wako tayari kutetea magaidi Lisa tu wanaendana na Imani yao. Hata Kama wangeenda kwenye mafunzi ya kijeshi, ujuzi ambao wangeupata ingekuwa kwa ajili ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…