stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia amegusia Lissu ni Muongo, kwa wanaomfaham Lissu kwa ukaribu wanafiki pia kwamba jamaa sio mkweli sana
Turudi kwenye mada, kwangu mm naamini sana ili uwe kiongozi bora unatakiwa ujae busara na hekima zaidi ya uropokaji kwa wale wakristo tunaweza rejea kwa Mfalme suleiman, Mbowe ana mapungufu ila ni mtu mwenye busara na hekima sana, sio mtu wa kuropoka ovyo,
Pia kuna tabia ya Lissu ya kukimbia amsterdam sijaelewa kama wanaomuunga mkono Lissu wanalijua hili na mengine mengi kiwemo ufadhili wa chadema ikizingatiwa wengi ni keyboard masters