Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 mzee ufipa wamekukosea nnMbowe atakumbukwa kwa nafasi yake kwa muda aliotumikia chadema. Atakumbukwa kama viongozi wengine waliopita.
Watu wasitishwe kuhusu chama kufa kisa mbowe ama lissu.
Chadema haijawahi kushika dola, hivyo uwepo wake ama kutokuwepo kwake ni sawia tu.
Kutoweka kwa CCM ndiyo italeta taharuki duniani. Ila kwa Chadema ife tu.
Nyerere anakumbukaa kila siku.Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia amegusia Lissu ni Muongo, kwa wanaomfaham Lissu kwa ukaribu wanafiki pia kwamba jamaa sio mkweli sana
Turudi kwenye mada, kwangu mm naamini sana ili uwe kiongozi bora unatakiwa ujae busara na hekima zaidi ya uropokaji kwa wale wakristo tunaweza rejea kwa Mfalme suleiman, Mbowe ana mapungufu ila ni mtu mwenye busara na hekima sana, sio mtu wa kuropoka ovyo,
Pia kuna tabia ya Lissu ya kukimbia amsterdam sijaelewa kama wanaomuunga mkono Lissu wanalijua hili na mengine mengi kiwemo ufadhili wa chadema ikizingatiwa wengi ni keyboard masters
😂😂😂 wanajipa umuhimu usiofaa.🤣 🤣 🤣 mzee ufipa wamekukosea nn
HakikaHahahaaa kwamba chama kife ila Lissu ndio mnamtaka. Aisee
Kuna jamaa yangu aliwahi niambia hv, "hivi katika vurumai za chadema na polisi, umeishawahi kuona Mbowe, anapigwa? Huwa wanapigwa wengine, ye ye wala haguswi! Nikambishia Sana" Now I know better, Mbowe ni pandikiz tu la, ccm, deep state, katika upinzani, kama alivyokuwa Mabere Malando, Augustine Mrema,Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia amegusia Lissu ni Muongo, kwa wanaomfaham Lissu kwa ukaribu wanafiki pia kwamba jamaa sio mkweli sana
Turudi kwenye mada, kwangu mm naamini sana ili uwe kiongozi bora unatakiwa ujae busara na hekima zaidi ya uropokaji kwa wale wakristo tunaweza rejea kwa Mfalme suleiman, Mbowe ana mapungufu ila ni mtu mwenye busara na hekima sana, sio mtu wa kuropoka ovyo,
Pia kuna tabia ya Lissu ya kukimbia amsterdam sijaelewa kama wanaomuunga mkono Lissu wanalijua hili na mengine mengi kiwemo ufadhili wa chadema ikizingatiwa wengi ni keyboard masters
Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia amegusia Lissu ni Muongo, kwa wanaomfaham Lissu kwa ukaribu wanafiki pia kwamba jamaa sio mkweli sana
Turudi kwenye mada, kwangu mm naamini sana ili uwe kiongozi bora unatakiwa ujae busara na hekima zaidi ya uropokaji kwa wale wakristo tunaweza rejea kwa Mfalme suleiman, Mbowe ana mapungufu ila ni mtu mwenye busara na hekima sana, sio mtu wa kuropoka ovyo,
Pia kuna tabia ya Lissu ya kukimbia amsterdam sijaelewa kama wanaomuunga mkono Lissu wanalijua hili na mengine mengi kiwemo ufadhili wa chadema ikizingatiwa wengi ni keyboard masters
Kumbe na wewe umesikia mahali, jaribu kimjua in person kwanzabaadhi ya watu wanaomjua in person wanasema ni muongo muongo, kuna sehem mbowe aligusia pia jamaa ni muongo so nkaunganisha dots
Mbowe hakuwahi kukimbilia SA kipind chq magu? Lissu kaanza kwenda nje sana baada ya matatizo yaliyomkuta, sababu bado ana risasi zimebaki huwa anaenda mara kwa mara for check uplissu atakumbukwa kwa kukimbia nje ya nchi
we mzee sisi sio watoto tunakumbuka vzuri alikimbila ubalozini akasaidiwa kupatiwa tiketiMbowe hakuwahi kukimbilia SA kipind chq magu? Lissu kaanza kwenda nje sana baada ya matatizo yaliyomkuta, sababu bado ana risasi zimebaki huwa anaenda mara kwa mara for check up
Majeraha hayo aliyapata sababu ya kukipigania chama, he almost lost his life
point is mbowe ana busara na hekima ata wewe utakapokua unaongea na mbowe unaongea kwa ustarabu ila ukiwa karibu na lisu utajikuta na wewe unapayukaKuna jamaa yangu aliwahi niambia hv, "hivi katika vurumai za chadema na polisi, umeishawahi kuona Mbowe, anapigwa? Huwa wanapigwa wengine, ye ye wala haguswi! Nikambishia Sana" Now I know better, Mbowe ni pandikiz tu la, ccm, deep state, katika upinzani, kama alivyokuwa Mabere Malando, Augustine Mrema,
Mbona kimeishachungulia kule,Ni bora chama kikafa ,tunamtaka lissu