Ipo siku CHADEMA itamkumbuka Mbowe but itakuwa very late

Ipo siku CHADEMA itamkumbuka Mbowe but itakuwa very late

1. Wenye busara 90% ndio hao matapeli wakubwa kwa kutumia ulimi
2. Lissu kila mtu anamjua ni mkweli luliko ukweli wenyewe.
3. Mbowe atakumbukwa sana tu kwa jinsi alivyojinufaisha kupitia chadema.

Mbowe anaikopesha chadema ili akodi chopa ya kuzungukia hii sahihi na baadqe anadai pesa yake na interest juu haa.

Je mwenye hekima atawale milele?
mbowe ni tajiri kabla hata hajaingia chadema, huyo huyo ndo amempa gari uyo mropokaji wenu
 
kwani mbowe hawezi kukisaidia chama mpaka awe mwenyekiti? matako yako. mbowe ni mhuni tu. anahubiri asichokitenda. bora tu tuendelee kufirigiswa na ma ccm.
#lissu for life
 
kwani mbowe hawezi kukisaidia chama mpaka awe mwenyekiti? matako yako. mbowe ni mhuni tu. anahubiri asichokitenda. bora tu tuendelee kufirigiswa na ma ccm.
#lissu for life
mtamkumbuka mbowe
 
mbowe ni tajiri kabla hata hajaingia chadema, huyo huyo ndo amempa gari uyo mropokaji wenu
Kwa hiyo hilo gari ndio noni?
Wewe no masikini kichakuro kabisa.
Kama amempa gari ili asigombew au asipingwe?
Toa akili zako za kingese hapa
 
Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia amegusia Lissu ni Muongo, kwa wanaomfaham Lissu kwa ukaribu wanafiki pia kwamba jamaa sio mkweli sana

Turudi kwenye mada, kwangu mm naamini sana ili uwe kiongozi bora unatakiwa ujae busara na hekima zaidi ya uropokaji kwa wale wakristo tunaweza rejea kwa Mfalme suleiman, Mbowe ana mapungufu ila ni mtu mwenye busara na hekima sana, sio mtu wa kuropoka ovyo,

Pia kuna tabia ya Lissu ya kukimbia amsterdam sijaelewa kama wanaomuunga mkono Lissu wanalijua hili na mengine mengi kiwemo ufadhili wa chadema ikizingatiwa wengi ni keyboard masters
Kwahiyo mwongo na tapeli wamekutana sio?
 
kwamba ulisahau alivokimbilia ubalozini wakati wa maandamano

Wakati huo wewe ulikuwa wapi? Ulikuwa kwenye maandamano?

Alikimbilia ubalozi Kwa ajili ya kitu gani?

Why ubalozi wakampeleka airport?

Hii ni forum ya greathinkers so usiongee mambo juu juu tu
 
Wakati huo wewe ulikuwa wapi? Ulikuwa kwenye maandamano?

Alikimbilia ubalozi Kwa ajili ya kitu gani?

Why ubalozi wakampeleka airport?

Hii ni forum ya greathinkers so usiongee mambo juu juu tu
tukio unalijua amna haja ya kuzunguka mada
 
hakuenda checkup alikimbia Maandamano kila mtu anajua
Alikwishapata uzoefu wa risasi. Angebaki kujifanya shujaa kwenye maandamano, mungerudia risasi safari hii msingekosea shabaha. Hata baada ya 2020 election aliamua kukimbilia ubalozi wa Ujerumani kuokoa maisha yake .Bora kukimbia ubaki ukipambana kuliko kujifanya shujaa kwa watu waliodhamiria kuua.
 
unajaribu kupindisha swali point apa ni kipindi kile maandamano yanaendelea alikimbilia ubalozini akapata ndege ya nje ya nchi
Unachouliza wewe siyo kilichoulizwa, mimi nimejibu kilichoulizwa.
Kama wewe hilo ndiyo swali lako uliza.
 
Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia amegusia Lissu ni Muongo, kwa wanaomfaham Lissu kwa ukaribu wanafiki pia kwamba jamaa sio mkweli sana

Turudi kwenye mada, kwangu mm naamini sana ili uwe kiongozi bora unatakiwa ujae busara na hekima zaidi ya uropokaji kwa wale wakristo tunaweza rejea kwa Mfalme suleiman, Mbowe ana mapungufu ila ni mtu mwenye busara na hekima sana, sio mtu wa kuropoka ovyo,

Pia kuna tabia ya Lissu ya kukimbia amsterdam sijaelewa kama wanaomuunga mkono Lissu wanalijua hili na mengine mengi kiwemo ufadhili wa chadema ikizingatiwa wengi ni keyboard masters
Hoja yako hasa ni Uongo, hayo mengine hayaeleweki!!!
Je, Mbowe ni mkweli? Kati ya Mbowe na Lissu nani mkweli?
Kwa hoja yako bado Lissu ni afadhali kuliko mbowe. Lakini pia unapaswa kujua kuwa lengo la chama chochote cha siasa ni kuchukua madaraka na kwa hali ya siasa zetu afrika huwezi kuchukua madaraka au kuwatetemesha watawala kama utaendelea kulamba viatu vyao kama afanyavyo Mbowe so kwa hilo tu Mbowe hatoshi kuwa kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani kwa mazingira ya sasa lakini pia kwa chama kinachohubiri demokrasia ni doa kubwa kuwa na mwenyekiti aliyeshikilia uongozi kwa miaka 20+ na bado akawa na nguvu za kuikosoa CCM kwa ubakaji wa demokrasia.
 
lissu hana ujasiri kila akibanwa anaenda amsterdam anaawaacha kwenye mataa
Bora huyo anayewakimbia watesi kuliko yule anayekimbilia jumba jeupe (kwa watesi) kulamba chochote kitu.
 
Quote me wrong, wengi ktk mitandao ya kijamii wanaomponda Mbowe ni jobless young youths walioamua kutupa karata yao kwa Lisu km mkombozi wao akipata nafasi baada ya ccccccm kuwapuuza. Wanaimani akipata uenyekiti hata CHADEMA isipoingia madarakani Lisu atasaidia ku push shida yao ya ajira kwa serikali ya ccccccm bila kupepesa macho au handshake km anavyofanya Mbowe.

Shida ni moja tu kuwa kwa asili ya Tz ya uoga hata Lisu haitishe maandamano yenye malipo hawa vijana hautawaona barabarani hata sku moja, atabaki anabweka tu km mbwa asie na meno
Hawa jobless young youth leo mnawatukana shauri ya huyu Mzee?
 
Back
Top Bottom