Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
Kama kile kipengele cha uhuru wa kumiliki ardhi ndani ya Tanzania kwa katika kitabaki vile ile😥😥😥.
Naona hatari ya hawa waarabu kudahi uhuru wao maana wana haki ya ardhi, na wataongozwa na sheria zao nini kimebaki hapo
Tukumbuke Dubai ni mdogo hivyo wanatumia akili kuipanua imaya yao, na kama uwajuavyo waarabu wakihisi kitu ni chao wapo tayari kufa.
Mimi nahisi kama mkataba sijui makubaliano hayana mwisho ni heri tukauvunja,
-Tuwape watu wenye mwisho ili wajue hapa si kwao
-Tuwape watu watakaofata sheria za nchi- na si sheria zao.
- Tusifanye kosa la kuongoza na wazanzibar tena yakitukuta wao watakimbilia kwao ,sisi tutakimbilia sijui wapi.
Nawasilisha.
#Kataa Muungano ,Muungano ni utapeli