Ipo Siku DP World watadahi uhuru wao

Ipo Siku DP World watadahi uhuru wao

Sio kweli.Waarabu sio watu weupe.Waarabu ni watu weusi,wamepatikana kuwa weupe baada ya kuoana na watumwa wa kizungu,wanawake waliotoka mashariki ya ulaya.Hata hili nio Afrika ni jina la Mfalme wa kiarabu(weusi).Na bado wapo hawa waarabu wa asili(weusi),katika kisiwa kinaitwa Sctotra,na ndani ya nchi za kiarabu pia wapo,ambao mababu zao hawakuoana na wazungu.Ndio ukaona wazungu hawawaiti waarabu ni WHITES.
Wazanzibar kauzeni Bandari yetu hatuwataki kwani kama hamtakiwi si mtoke,ujui kuachwa ww
 
Mangungo mpaka akawa Mtemi,ujuwe ni mtu mkubwa,uchifu hupewi mtu ovyovyo,kama hivyo wewe kwenye ukoo wenu mzima,hakuna aliyeupata uchifu.
Wewe ni kings,hatutaki Muungano.
Unatuletea viongozi wa hivyo wanauza Tanganyika yetu.
#Hatuutaki Muungano,na wazurumati
 
Kataa wanaokataa Muungano,hao ni matapeli
Kweli Kaka Ila kuna mtu alishaniita chogo live niliwaza hilo neno mpaka leo najiuliza kinachotutenganisha ni maumbile ya mwili au mkataba wa muungano huwa nakosa jibu nakaa kimya kuangalia tuu
 
Nikisema Jani la kijani litaanguka, watasema mbona lisianguke Jani kavu...

Narudia Jani la kijani litaanguka baada ya kutikisika...

Na mti huo wenye majani ya kijani hautaota tena...
 
Back
Top Bottom