Ipo Siku DP World watadahi uhuru wao

Ipo Siku DP World watadahi uhuru wao

Kichwa chako cha habari kimewekwa kwenye uzi wa mtu mwengine
Screenshot_20230718-084449.jpg
 
LAWAMA ZA DHATI ZIENDE KWA NYERERE NA KARUME KUTULETEA HUU MUUNGANO.

BILA MUUNGANO KUNA BAADHI YA WATU WANAOTUTESA NA KUTUUZA LEO WANGEKUWA WANAUZA UROJO VISIWANI HUKO.

LEO HII SABABU YA HUU UPUUZI WA MUUNGANO AMBAO KIUHALISIA NI UTENGANO TUMEISHIA KUBEBESHWA ZIGO LA MTU/WATU WASIOKUWA NA DIRA, MUELEKEO WALA UELEWA WA NINI HASA WANACHOFANYA.
Ndo wanauza nchi ipo siku watataka kigoma,dar,mwanza,mtwara,Tanga si kwenye mkataba unaeleza ukitaka kitu unapewa
 
Ndugu yangu ujenge kabisa kwenu huko maana waarabu hawa ,wabatafuta namna ya kujipanua ,imagine miaka miambili ijayo wakati kizazi hiki kimepita,watasema kuna sehemu Tanganyika ni yetu watanganyika waliuza kwa tamaa zao,ww unafikir Historia ya parestina na israel ilianzaje
Siyo sehemu ya tanganyika ni yetu go extra mile mkuu hiyo miaka miambili huwezi kuta ngozi nyeusi hapa

Misri tunaambiwa ilikuwa ya wamatumbi kama sisi na nchi kadhaa za kiarabu ndani ya Afrika
 
Siyo sehemu ya tanganyika ni yetu go extra mile mkuu hiyo miaka miambili huwezi kuta ngozi nyeusi hapa

Misri tunaambiwa ilikuwa ya wamatumbi kama sisi na nchi kadhaa za kiarabu ndani ya Afrika
Kazi tunayo tutakutana na Muha muaarabu na mnyakusa muaarabu
 
Kama kile kipengele cha uhuru wa kumiliki ardhi ndani ya Tanzania kwa katika kitabaki vile ile[emoji26][emoji26][emoji26].
Naona hatari ya hawa waarabu kudahi uhuru wao maana wana haki ya ardhi, na wataongozwa na sheria zao nini kimebaki hapo,
Tukumbuke Dubai ni mdogo hivyo wanatumia akili kuipanua imaya yao.
na kama uwajuavyo waarabu wakihisi kitu ni chao wapo tayari kufa.
Mimi nahisi kama mkataba sijui makubaliano hayana mwisho ni heri tukauvunja,
-Tuwape watu wenye mwisho ili wajue hapa si kwao
-Tuwape watu watakaofata sheria za nchi- na si sheria zao.
- Tusifanye kosa la kuongoza na wazanzibar tena yakitukuta wao watakimbilia kwao ,sisi tutakimbilia sijui wapi.
Nawasilisha.
#Kataa Muungano ,Muungano ni utapeli
Kataa wanaokataa Muungano,hao ni matapeli
 
Ndugu yangu ujenge kabisa kwenu huko maana waarabu hawa ,wabatafuta namna ya kujipanua ,imagine miaka miambili ijayo wakati kizazi hiki kimepita,watasema kuna sehemu Tanganyika ni yetu watanganyika waliuza kwa tamaa zao,ww unafikir Historia ya parestina na israel ilianzaje
Kataa wanaokataa muungano,hao ni matapeli.
 
Siyo sehemu ya tanganyika ni yetu go extra mile mkuu hiyo miaka miambili huwezi kuta ngozi nyeusi hapa

Misri tunaambiwa ilikuwa ya wamatumbi kama sisi na nchi kadhaa za kiarabu ndani ya Afrika
Sio kweli.Waarabu sio watu weupe.Waarabu ni watu weusi,wamepatikana kuwa weupe baada ya kuoana na watumwa wa kizungu,wanawake waliotoka mashariki ya ulaya.Hata hili nio Afrika ni jina la Mfalme wa kiarabu(weusi).Na bado wapo hawa waarabu wa asili(weusi),katika kisiwa kinaitwa Sctotra,na ndani ya nchi za kiarabu pia wapo,ambao mababu zao hawakuoana na wazungu.Ndio ukaona wazungu hawawaiti waarabu ni WHITES.
 
Kazi tunayo tutakutana na Muha muaarabu na mnyakusa muaarabu
Waarabu asili yao ni mtu mweusi.Ni baada ya mababu zao,kuoana na wanawake watumwa wa kizungu wa mashariki ndio wakapatikana weupe.Waarabu wa asili(weusi)wapo,ambao mababu zao hawakuoa,wanawake wa kizungu watumwa,wa mashariki ya ulaya,wapo kwenye kisiwa cha Scotra,na wapo baadhi kwenye nchi za kiarabu.Ndio maana ukaona wazungu hawaiti waarabu whites(weupe).
 
Back
Top Bottom