Ipo Siku DP World watadahi uhuru wao

Wazanzibar kauzeni Bandari yetu hatuwataki kwani kama hamtakiwi si mtoke,ujui kuachwa ww
 
Mangungo mpaka akawa Mtemi,ujuwe ni mtu mkubwa,uchifu hupewi mtu ovyovyo,kama hivyo wewe kwenye ukoo wenu mzima,hakuna aliyeupata uchifu.
Wewe ni kings,hatutaki Muungano.
Unatuletea viongozi wa hivyo wanauza Tanganyika yetu.
#Hatuutaki Muungano,na wazurumati
 
Kataa wanaokataa Muungano,hao ni matapeli
Kweli Kaka Ila kuna mtu alishaniita chogo live niliwaza hilo neno mpaka leo najiuliza kinachotutenganisha ni maumbile ya mwili au mkataba wa muungano huwa nakosa jibu nakaa kimya kuangalia tuu
 
Nikisema Jani la kijani litaanguka, watasema mbona lisianguke Jani kavu...

Narudia Jani la kijani litaanguka baada ya kutikisika...

Na mti huo wenye majani ya kijani hautaota tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…