Ipo siku Kenya itatawaliwa na kizazi cha Somalia

Haya basi jombaa, acha mjadala huu uishie hapo.
Chief usicheze na kabila au utaifa la somalia, Tanga miaka ya 1980-1990 kulikuwa na wasomali wengi sanaa lkn mwishoni mwa 1999 lile tabakaa la somalia lilitoweka gafla mpaka leo binafsi sijui walipotelea wapi lkn nahisi wengi walichoropokea Mombasa ..ambapo napo kwa sasa wasomali ni wengin mnooo.

Nakumbuka zaman pale muheza stand kqbisa kulikuwa na restaurant ya wasomali ...nakumbuka tuliwahi kuingia pale tukauziwa ubwa bwa hauja chumvi (mapishi ya kisomali)
 
Tutawasaidia kwa hali na mali. Kama tuliweza kuwasaidia SA. Angola Zimbabwe, Namibia, Musumbiji. Uganda kwa nini tusiwasaidie wakenya?
 
Watu wakiwa na jamii zao hawaongeo kiswahili, sio wahindi tu, wamaasai, wasukuma, wakurya, wanyakyusa na makabila karibu yote
Watu wana mada zao private sio lazima uelewe wanachozungumzia
Umeshawahi kupanda daladala ukakuta kundi la wamaasai? Unaweza ukatamani kushuka😂😂
 
Hata huyo prime minister atakuja kuwa Mhindi? 😂
 
Na sioni ubaya, ka ni mkenya halisi as in born in KE, then he or she is allowed by the constitution to vie for that position. Na akiwa president, he'll be a Kenyan president, not a Somalian president. This country has got a constitution to follow and the Kenyans voice is involved in it!
 
Sawa lkn khan baba yake ni muhindi aliye lowea pakistan
Nyie kuna kitu huwa hampingi? Yule Sir Mohamed Farah, mbona ni raia wa UK na kazaliwa Mogadishu. Wangekuwa wabaya wale hata kupata hiyo Sir title angeiskia tu, sahi ni mtu wa kiwango kingine licha ya kuwa sio mzaliwa wa kule. Sasa hawa Wasomali wa Kenya, wengi wao ni wazawa wa huku, aka ni Wakenya halisi, so anaweza fanya atakalo kwa siasa. Washakuwa jeshini, polisi, magereza, wakili, wakubwa wa mikoa nk. No stress, acha hiyo akili. Dunia imebadilika!
 
Uwe una elewa
Kikicho andikwa hapo ni uchambuzi ..kwan Abraham Lincoly aliposema ipo siku taifa la marekan litaongozwa naa mtu mweusi kwan alisema kwa nia OVU ?
Ondoa akili ya negativity
 
Uwe una elewa
Kikicho andikwa hapo ni uchambuzi ..kwan Abraham Lincoly aliposema ipo siku taifa la marekan litaongozwa naa mtu mweusi kwan alisema kwa nia OVU ?
Ondoa akili ya negativity
Wa Sudan, Ethiopia wapo KE, mbona umerukia Somalia tu, hata kama wako wengi, sio wao tu wazaliwa wa KE wenye wazazi wa nchi zingine. Tunawajua nyie na issue zenyu, usijifanye muungwana hapo, naelewa kila kitu.
 
Mbona umeng'ang'ania sana upotoshaji kwan Kenya ndo nchi pekee ambayo imezungukwa na nchi zingine ?
 
acheni wivu wasomali walikuwepo wapo na watakuwepo mpende msipende,mtoa mada upo sahihi naunga mkono hoja.
 
Uwe una elewa
Kikicho andikwa hapo ni uchambuzi ..kwan Abraham Lincoly aliposema ipo siku taifa la marekan litaongozwa naa mtu mweusi kwan alisema kwa nia OVU ?
Ondoa akili ya negativity
mkuu watu wengine jina la kisomali tu inawatia kichefuchefu, bt the thing is ,we are here to stay(Africa )
 
mkuu watu wengine jina la kisomali tu inawatia kichefuchefu, bt the thing is ,we are here to stay(Africa )
Kwann mkuu ?
Moja kati wa africa wanao shikana hasa ni wasomali na wana jua sana kufanya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…