luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
- #41
Chief usicheze na kabila au utaifa la somalia, Tanga miaka ya 1980-1990 kulikuwa na wasomali wengi sanaa lkn mwishoni mwa 1999 lile tabakaa la somalia lilitoweka gafla mpaka leo binafsi sijui walipotelea wapi lkn nahisi wengi walichoropokea Mombasa ..ambapo napo kwa sasa wasomali ni wengin mnooo.Haya basi jombaa, acha mjadala huu uishie hapo.
Nakumbuka zaman pale muheza stand kqbisa kulikuwa na restaurant ya wasomali ...nakumbuka tuliwahi kuingia pale tukauziwa ubwa bwa hauja chumvi (mapishi ya kisomali)