Ipo siku Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa Tanzania, ni suala la muda tu

Sijui nitakua hai au nitakua nimekufa lakini nawaambia kuna siku lissu atakuja kuwa Rais wa JMT

Huyu ndo atakuja kuliponya hili taifa dhidi ya matatizo yote tuliyopitia

Mimi namuombea nguvu, uzima na afya tele tu najua ni suala la muda tu

Ila Watanzania tuna matatizo makubwa aisee hivi unaanzaje kumnyima mtu km lissu kura unampa jiwe?

Haya mlimtukana lisu kwamba ni kibaraka wa mabeberu. Swali la kichonganishi niwaulizeni sahivi kati ya Lisu na Hangaya ni yupi anawasujudia mabeberu miguu?[emoji23][emoji23][emoji23]Unajua vijana wa mataga sijui huwa mnawaza vipi aisee

Huko mnakopewa mikopo kila kukicha, misaada na chanjo za bure, ky na lubricants nyingine kwa ajili ya hospital hao ndo wajamaa wenzenu au[emoji23][emoji23]si mabeberu jamani. Sasa hapo anayetumiwa na mabeberu ni hangaya au Lissu? Mnasema lisu alikua anazunguka kwa mabeberu huyo hangaya safari zake za nje majuzi alikua kwa kina nani?[emoji1787] Sasa kwanini hajawatembelea wajamaa wenzenu china na korea ya kaskazini?

Lissu anachokifanya kwa kiswahili inaitwa "mtumikie kafiri upate mradi" Sasa kama mlikua hamjui ndo mjue sasa lisu anatengeneza njia ya kisiasa na mafanikio kwetu sote nyie mnazidi kukopa kwa mabeberu hao hao na wamepora madini yetu na gas matatizo yote haya mliyaleta nyie CCM
Lissu hana tofauti na Magufuli, he thinks he knows everything.
 
Ninamtetea Tundu Lissu kwa namna alivyoshambuliwa na Magufuli kwa risasi 16 pale Dodoma mwaka 2017. Ule ulikuwa ni ukatili wa hali ya juu.

Nimemuona Tundu Lissu kwenye kampeni za 2020 na nilimpigia kura japo Magufuli aliiba zote. Lakini kwa namna nilivyomuona Tundu Lissu kwa miezi hii 6 iliyokwisha, NATHUBUTU kusema akipata urais atakuwa kama Magufuli tu.

Wanafanana vitu vingi na Magufuli, eeh Mungu liepushe Taifa letu lisipate Magufuli mwingine
Umeanza vizuri ila umemaliza kwa uongo
 
ACHA KUCHEKESHA MTOA POSTI
CCM KINDAKI NDAKI NDIO INAREJEA,TUTACHEKECHA SANA VICHWA KABLA YA KUMCHAGUA RAIS NDANI YA CCM YENYEWE,MAKOSA HAYATA RUDIWA TENA.
 
Kiongozi yeyote wa cdm aliyeafiki ujio wa El hafai hata kwa kulumangia. Haiwezekani kumpa mtu dhamana ya kazi ya nchi kama hasimamii anacho kiamini aka kigeugeu labda udondoke halafu aukote huo uongozi kwa mujibu wa Katiba.
 
Labla rais jalalani hukooooooo
Hatuwezi kuongozwa na mtu ana risasi makalioni
 
Sijui nitakua hai au nitakua nimekufa lakini nawaambia kuna siku lissu atakuja kuwa Rais wa JMT

Huyu ndo atakuja kuliponya hili taifa dhidi ya matatizo yote tuliyopitia

Mimi namuombea nguvu, uzima na afya tele tu najua ni suala la muda tu

Ila Watanzania tuna matatizo makubwa aisee hivi unaanzaje kumnyima mtu km lissu kura unampa jiwe?

Haya mlimtukana lisu kwamba ni kibaraka wa mabeberu. Swali la kichonganishi niwaulizeni sahivi kati ya Lisu na Hangaya ni yupi anawasujudia mabeberu miguu?[emoji23][emoji23][emoji23]Unajua vijana wa mataga sijui huwa mnawaza vipi aisee

Huko mnakopewa mikopo kila kukicha, misaada na chanjo za bure, ky na lubricants nyingine kwa ajili ya hospital hao ndo wajamaa wenzenu au[emoji23][emoji23]si mabeberu jamani. Sasa hapo anayetumiwa na mabeberu ni hangaya au Lissu? Mnasema lisu alikua anazunguka kwa mabeberu huyo hangaya safari zake za nje majuzi alikua kwa kina nani?[emoji1787] Sasa kwanini hajawatembelea wajamaa wenzenu china na korea ya kaskazini?

Lissu anachokifanya kwa kiswahili inaitwa "mtumikie kafiri upate mradi" Sasa kama mlikua hamjui ndo mjue sasa lisu anatengeneza njia ya kisiasa na mafanikio kwetu sote nyie mnazidi kukopa kwa mabeberu hao hao na wamepora madini yetu na gas matatizo yote haya mliyaleta nyie CCM
We mwehu kwel yaan
 
Ninamtetea Tundu Lissu kwa namna alivyoshambuliwa na Magufuli kwa risasi 16 pale Dodoma mwaka 2017. Ule ulikuwa ni ukatili wa hali ya juu.

Nimemuona Tundu Lissu kwenye kampeni za 2020 na nilimpigia kura japo Magufuli aliiba zote. Lakini kwa namna nilivyomuona Tundu Lissu kwa miezi hii 6 iliyokwisha, NATHUBUTU kusema akipata urais atakuwa kama Magufuli tu.

Wanafanana vitu vingi na Magufuli, eeh Mungu liepushe Taifa letu lisipate Magufuli mwingine
una ushahid kuwa magu ndiye aliye mshambulia? hayo mastori&chuki zenu mliyokalilishwa na kigogo mtaacha lin? ona sasa kawasaliti now mmebaki kusambaza porojo na chuki zakijinga
 
Juzi nilimsikiliza kupitia space ya Maria Sarungi nikakiri kimoyo moyo Tundu Lissu ni kichwa.
Anajua kujieleza, kupanga hoja, kutoa ufafanuzi kwa mifano halisi mpaka huchoki kumsikiliza. He is next level.
Ila ana jazba sana
 
Mtu anayejua kujifanya anajua huku akifuata sheria za nchi hatuna shida naye , Magufuli alijifanya anajua huku HAJUI LOLOTE , usimfananishe na Lissu
Kwa namna ya matendo yake hata mtu yeyote angeweza kushika nafasi yake. Nguvu zake zilikuwa dola na zana zake.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom