Ipo siku Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa Tanzania, ni suala la muda tu

Lissu hana tofauti na Magufuli, he thinks he knows everything.
 
Umeanza vizuri ila umemaliza kwa uongo
 
ACHA KUCHEKESHA MTOA POSTI
CCM KINDAKI NDAKI NDIO INAREJEA,TUTACHEKECHA SANA VICHWA KABLA YA KUMCHAGUA RAIS NDANI YA CCM YENYEWE,MAKOSA HAYATA RUDIWA TENA.
 
Kiongozi yeyote wa cdm aliyeafiki ujio wa El hafai hata kwa kulumangia. Haiwezekani kumpa mtu dhamana ya kazi ya nchi kama hasimamii anacho kiamini aka kigeugeu labda udondoke halafu aukote huo uongozi kwa mujibu wa Katiba.
 
Labla rais jalalani hukooooooo
Hatuwezi kuongozwa na mtu ana risasi makalioni
 
We mwehu kwel yaan
 
una ushahid kuwa magu ndiye aliye mshambulia? hayo mastori&chuki zenu mliyokalilishwa na kigogo mtaacha lin? ona sasa kawasaliti now mmebaki kusambaza porojo na chuki zakijinga
 
Juzi nilimsikiliza kupitia space ya Maria Sarungi nikakiri kimoyo moyo Tundu Lissu ni kichwa.
Anajua kujieleza, kupanga hoja, kutoa ufafanuzi kwa mifano halisi mpaka huchoki kumsikiliza. He is next level.
Ila ana jazba sana
 
Mtu anayejua kujifanya anajua huku akifuata sheria za nchi hatuna shida naye , Magufuli alijifanya anajua huku HAJUI LOLOTE , usimfananishe na Lissu
Kwa namna ya matendo yake hata mtu yeyote angeweza kushika nafasi yake. Nguvu zake zilikuwa dola na zana zake.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…