Ipo siku Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa Tanzania, ni suala la muda tu

Nimesoma jina lako kumbe bado Mvulana. Basi ukikua utaelewa.
 
una ushahid kuwa magu ndiye aliye mshambulia? hayo mastori&chuki zenu mliyokalilishwa na kigogo mtaacha lin? ona sasa kawasaliti now mmebaki kusambaza porojo na chuki zakijinga
Mbona kuna voice clip kabisa Magufuli alipokuwa anapokea ripoti ya madini anasema kabisa. Hata mwenyewe kwenye uhai wake hajawahi kubisha ndiyo maana hakumlipia matibabu, akawafukuza waliokuwa wanamuombea apone na akamnyang'anya ubunge.

Mwishowe akamnyima haki zake za ubunge
 
Juzi nilimsikiliza kupitia space ya Maria Sarungi nikakiri kimoyo moyo Tundu Lissu ni kichwa.
Anajua kujieleza, kupanga hoja, kutoa ufafanuzi kwa mifano halisi mpaka huchoki kumsikiliza. He is next level.
Tapeli la hali ya juu, jamaa bwege kama yule unamwona in black n white,, huna haja ya kuvaa miwani. tundu lissu tupa kule
 
Jiwe alikataliwa hata na maccm wenzie ila wasiojulikana wakampa taarifa mapema kuwa mzee TAL atakubwaga akaona isiwe tabu akafanya mchezo mchafu ambao haujawahi fanyika kwa kiwango kile. Nani angempa kura yule!!!
 
Lissu hajawahi kushindwa kitu ktk maisha yake. Alishinda Kifo
 
mbona kuota ni haki yako ya msingi, endelea kuitumia vizuri......!
Kuota imekuwa haki ya msingi baada ya mwendazake kuonfoka? Lema aliota na akasema alichoota, akanyea ndoo kisongo miezi 4. Sasa hiyo haki inahifadhiwa wapi?
 

acha mahaba ya kijinga
 
Shida ya Lissu ni mtu anayefata Kanuni na Sheria na pia anapenda Haki kutendeka kwa kila mtu. Na hicho ndio kilitaka kumuua sept 7 2017
 
Mpeni kwanza uenyekiti pale Ufipa nasi tutampa urais
 
Tundu huyu huyu wa ubelgiji au mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…