Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

UNAJIDANGANYA.
 
Huyo mleta mada si ndiye anatajwa kuwa ni muuaji wa Ben Sanane. Muuaji humwona muuaji aliyemzidi kama shujaa kuliko yeye. Wauaji ndivyo walivyo.

Jambazi humwona jambazi aliyemzidi, kama ndiye shujaa kumzidi.
Bado naamini kuwa ipo siku watatajana na tutawamwagia tindikali
 
Mkuu naamini kuwa linaposemwa sukuma gang haimaanishi kuwa wasukuma wote ni katili.

Inamaanisha kuwa waliokuwa wapo karibu na huyo MZIRA NKENDE na co yao yote.

Wasukuma ni watu waziri sana na wakarimu sana mkuu.
 
Asante sana kwa kutupatia historia fupi ya Musollin
 

Uzalendo wa kujenga kiwanja cha ndege cha mabilion kule ‘Gbadolite Chato International Airport’ ili awe anaenda December kumsalimia mama yake?

Huo ndiyo uzalendo?
 
Hiyo maktaba itakuwa inafundisha nini maana mtu wenu zaidi ya matusi sijui kama Kuna Kauli za maana aliwahi ziongea..
Hakuwa Mzuri kwenye kuongea ila vitendo pia Nakukumbusha field ya Eng Matusi kawaida sana
 
Inatosha kumjengea maktaba kumkumbuka.

Pia viongozi wajifunze kuandika vitabu ktk umri mdogo kama Nyerere, Magu sijui kama amewahi andika vitabu tuvisome.

Mzee KIKWETE aandike kitabu aeleze humo ndani nani waliomzuia kukamilisha mchakato wa KATIBA mpya alianzisha.



Napingana nawe kujenga sanamu, Mungu amekataza.

Amen
 
Pole Kaka .

Shida ni Ndugu Zako Wanaoendekeza Ukabila na Ukanda Nakusahau Hii Nchi ni yetu Sote.
 
Inshallah siku ya mwamba na kumbukizi hai itatekelezwa. JPM hawezi kufutika kamwe kwenye nafsi za watu




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…