Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Hata wapenzi wakiachana Kila mmoja humwambia mwenzie utanikumbuka sasa sijui Cha ajabu ni kipi

Hiyo kauli wala siyo yeye wa kwanza kuisema, Hata Mzee Ruksa aliisema wakati anamuachia kijiti BWM. Hata Samia naye atasema hivyohivyo
 
Tafuta Hela Yako Jenga Hilo sanamu liweke sebleni kwako uliabudu usitusumbue
 
Hapo hakuna cha uzalendo ndugu yangu.
Hapo kila mtu anapigania kuingiza mkono kinywani tu.
 
Nawaza tu hilo Sanamu litakuwaje?!
Make hata wanaojaribu kumchora hatokei ipasavyo!
 
Rais mwizi mwizi, muongo, katili, mkurupukaji... Bipolar!
Hilo Sanamu litawamaliza wengi kuanzia mhahasi wa hilo wazo!
 
Mkuu Kiranga

Samia amelipa cash kwa Cargo Flight!

Nchi haitegemei tena kilimo cha mvua za msimu?

c.c pasco mayala
Samia na Magufuli ni watoto wa baba mmoja mama mbalimbali, kwa hivyo hizo habari za kuwalinganisha kama wako tofauti sana mimi kimsingi sizielewi.

Swali lako lingekuwa gumu kwa mtu anayemuona Samia kama mtu anayeleta mabadiliko makubwa sana, mimi simuoni hivyo.

Yeye mwenyewe kashasema yeye na Magufuli ni wamoja na anaendeleza mambo ya Magufuli.

To Samia's credit's though, ameimprove demokrasia na hayo mambo ya kilimo cha umwagiliaji angalau tunamsikia Bashe anayashikia bango, although the budget is a joke.
 
"...although a budget is a joke" (Kiranga,2023).

Sina la ziada!
 
Sawa sawa kiranga!!
 
As
ASante sana kaka umenena hakika mungu amekujalia hekima
 
Bado mna sonona nyie SUKUMAGANG

Oops!,poleni kenge nyie.

Kamjengeeni kwenye shamba la ukoo wenu pale Mbuzi wewe.
Kama ulikuwa mnufaika,imekula kwako Sorokoto wewe.
Nchi niyawatanzania wote,na sio ya my binafsi.

Wote tutakufa,ila DUBWASHA like kutangulia afadhali.

Ukimaind fresh,nipo zangu hapa bar nipo GAMBE.Mademu wote nawaona wazuri eti.
 
Naiona siku nimeiona ktk ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…