Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Usilo lijuwa ni usiku wa Giza. Sina haja yakukujibu muda utakujibu...
 
Mzalendo hanunui midege ya bei mbaya kwa cash bila business plan.

Wakati nchi inategemea kilimo cha mvua za msimu.
Nikikujibu nitakuwa nakuonea. Ila muda utakupa majibu yako.
 
Kaanze kwanza kujenga ya Ben Saanane
 
Poleeeee
 
Alin
Uzalendo hauondolewi kwa mistake moja!
JPM ni mzalendo haswaa!

Anastahili!

Mafisadi waachwe wanune tu na tunakila sababu ya kuwapuuza
Mzalendo anajenga kiwanja cha ndege cha kimataifa, hospital ya rufaa, mbuga za wanya, vita, Crdb, stand na mataa ya barabarani kijijini kwao huku wengine wakikodoa macho
Hivi tukizungumzia mzalendo huwa mnaelewa kweli???
Sokoine alikufa akiwa na pea nne za viatu. JPM alijiuzia maghorofa ya NIC kwa bei ya kutupwa hapo dodoma!
 
Mkuu mimi nakudai Ndugu yetu Ben. ntakua nakukumbusha Kila nikipata nafasi. yupo wapi????
 
Yule Mzee aliibana ile 1.5 ili aitumia kwenye uchaguzi 2025 lakini Mungu naye anapanga yake.Life is relaxation do as you can ,as long as your alive but remember huwezi kumlidhisha kila mtu au kumaliza maadui wote unaowatengeneza kwa visasi,kwa kuwa wao ni miongoni mwa wananchi unaowatumikia
 
Weka evidence ya unachokisema Acha kuropoka
 
Nikikujibu nitakuwa nakuonea. Ila muda utakupa majibu yako.
Na mimi nikikwambia kwamba hujui unachoongelea nitakuwa nakuonea?

Muda utanipa majibu lini turudi hapa kuhakiki?
 
Sentensi ya Mwisho imekaa vizuri
 
We had the best President ever!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…