- Thread starter
- #261
Usilo lijuwa ni usiku wa Giza. Sina haja yakukujibu muda utakujibu...Uzalendo
Uzalendo wa Kitanzania sio?
.......sifa za mzalendo.....
1. Anaipenda nchi na watu wake
2. Haiibii nchi yake
3. Hufanya kila kitu kwa manufaa ya nchi na watu wake
4. Hatesi raia
5. Haui/hauwi raia
KAMA MAGUFULI ALIKUWA NA SIFA HIZO AJENGEWE MWAKA HUU HUU