Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Sehemu fulani uko sahihi na sehemu nyingine umefikiri visivyo! Samia alivyomchagua P. Mpango katikati ya uongozi bila kuwepo uchaguzi mbele yake ni tofauti kabisa na Magufu aliyepaswa kuwa na mgombea mwenza ambae ataenda nae ktk uchaguzi. Kumbuka kumpata Samia kama mgombea mwenza kwa mara ya kwanza, Magufuli hakuwa mwenyekiti wa chama wala hakuwa Rais. Kifupi ni kwamba kwa mazingira yaliyopelekea kupatikana kwa Magufuli Kama mgombea wa urais kupitia CCM, JPM hakuwa na nguvu kwenye chama. Nguvu alikuwa nayo Kikwete kama Rais na mwenyekiti wa chama. Hivyo Uhuru wake wa kuchagua mgombea mwenza anaemtaka yeye haukuwepo, japo yeye ndiye aliyekuwa akiwajika kumtangaza. Kumbuka Lowassa alivyofyekelewa mbali pamoja na ushawishi aliokuwanao.
Ktk uchaguzi wa mara ya pili, Magufuli hasingeweza kumchaguwa mgombea mwenza mpya ili kusilete mpasuko ndani ya chama wakati kuna uchaguzi mbele yao. Hesabu za siasa si nadharia kama unavyotaka wewe.

Unasema alijuwa kuwa akifa makamu atakuwa Raisi?!! Unachekesha, wewe binafsi unajua utakufa lini? Urithi kwa familia yako ulisha andaa? Mdogo wangu, kifo ni fumbo la Mungu, hakuna ajuae atakufa lini. Ndiyo maana ulipoongelea hilo la wabunge aliowapitishapitisha kiolela uku umati wa vijana ukimshangilia, alikuwa hana habari na kifo. Alidhani atachagua bunge litakalomsaidia kupitisha mambo yake ya hovyo bila kuulizwa wala kuhojiwa. Pili alikuwa na mpango bunge lake hilo butu libadilishe katiba ili liondoe ukomo wa kugombea kiti Cha urais baada ya mhula wa miaka kumi. Angejuwa ana kufa, hasingeyafanya hayo.
 
Kuingoza nchi sio sawa na kuongoza familia ndugu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhula wake wa kwanza na wa pili bado aliendelea na Samia ,hii inakufunza nini?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli ndiye aliyesababisha Leo hii nchi inaongozwa na Samia huyu huyu mnayemchukia na kumtukana.

Hii ndio legacy aliyotuachia

Sent using Jamii Forums mobile app
Akichaguliwa mgombea mwenza . Hakumchagua mwenyewe.
Na waliomchagulia bila shaka wameshaonyesha wazi sababu Yao ya kufanya vile na nini kingetokea .

Kule Zanzibar Sheria Iko wazi haiwezekani Rais akawa jinsia nyingine.

Na Muungano uko wazi mgombea mwenza anatokea upande Mwingine.

Ni vizuri Katiba ikabadilika vinginevyo Katiba hii itawaumiza CCM kuliko chama kingine mara atakapotokea mpinzani halisi kama Lisu kushika madaraka.

Kuna Kila dalili CCM kuanguka mbeleni kutokana na mwamko na uelewa Wa Watanzania. Tundu Lisu akiacha siasa za kuwakera wanyonge Kwa kumtukana na kumdhihaki JPM ni wazi sana Lisu ataingia Ikulu asubuhi na mapema 2025.
Nimshauri tu Lisu asamehe na kuachana na kauli za kumbeza Magufuli kwani hazina Msaada Wowote zaidi ya kuwakera Wananchi wengi.
 
Kwani nani kauza bandari? nipo hapa Temeke naiona ile pale Kurasini. Hizo uwongo zenu ndiyo zinazaa taharuki
 
Ilaniwe hiyosiku ikitokea hivyo
 
Akakuvusha salama kwenda kuuzwa Dubai?....

Mpkaa mapadri na phd zao leo hii wanajuta kuondokewa na rais wa kweli.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eti Rais wa kweli, duh watu mnajua kujizima data
 
Kama kuwa mwizi kunaleta maendeleo Ni Bora kuongozwa na mwizi.


Kuliko muadilifu lakini maisha yanakuwa magumu.
Waweza kuwa sahihi lakini kiongozi mwizi ambaye kila siku watu wanaishi kwa hofu kwani siku yoyote unaweza potezwa huyo hafai. Ndiyo maana baada ya kufa watu wakafanya sherehe. Jiulize kuna kiongozi gani hapa kwetu aliwahi kufa wananchi wakafanya sherehe tofauti na Jiwe
 
Yaani nyie wajinga memekuwa misukule kabisa. Mnaanzaje kumuabudu yule kima alikuwa anaua watu? Eti Magufuli day?? Pumbavu kabisa, nani aiwekee hiyo siku takataka ile?
Inshallah tutaona kati yangu na wewe nani msukule. Weye twende
 
Nyani ukitakauuwa mpe jina baya. Wakati utajibu maswali yako.
 
njisi alivyotoa ruksa watu kuuawa wanaopinga kisiasa kwa kuhoji utendaji wake.
njisi alivyokandamiza katiba ya nch
i
 
Inshallah tutaona kati yangu na wewe nani msukule. Weye twende
Na wewe ni msukule uliyekatwa ulimi, huwezi kurudi katika hali yako labda Magufuli afufuke maana aliondoka na ubongo wako.
 
Mbowe ndio mwizi toka nazaliwa yeye ni mwenyekiti wa chama hadi nimeoa na nimepata watoto na mjukuu still bado mwenyekiti kwa nini ataki kuachia uenyekiti kama sio kuvizia pesa za ruzuku ni nn
Chadema ni chama cha familia ya akina mbowe nyie vyura mnajipendekeza
Mwenye chama ni mzee Mtei
 
Hivi ICC haiwezi kuanzisha hiyo sheria?
Tanzania ni nchi yenye wajinga na wapumbavu wengi
Icc ni ukoloni mamboleo kwa waafrica enyi ngozi nyeusi kwani mmelaaniwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…