Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Bila ICC madikiteta walio madarakani wangekuwa wanatuchinja kama mbuzi wa kafara
Ndio maana nikasema Tanzania kumejaa mazezeta wengi mfano ni wewe uliojibu hapa.SIKU ZOTE MUNGU HUAMBUA WAOVU NA WAPUMBAVU
Ebu nikupime kidogo naomba unijibu kwa nini kesi nyingi za ICC ni za waafrika wenyewe hao wazungu walianzidha hiyo mahakama hawakosei??
 
Yaani nyie wajinga memekuwa misukule kabisa. Mnaanzaje kumuabudu yule kima alikuwa anaua watu? Eti Magufuli day?? Pumbavu kabisa, nani aiwekee hiyo siku takataka ile?
Kaa kwa kutulia wewe ma+vi miaka ijayo tutakuwa na Magufuli day lazima akumbukwe.
 
Waafrika ndiyo walafi wa madaraka
 
Yule kima wa Chato hawezi kukumbukwa kwa namna alivyo najisi nchi hii
Huwezi kumkumbuka wewe peke yako malaya unaefumuliwa malinda. Ila wazalendo wanamkumbuka kila leo. Bandari isingeuzwe kifala namna hii shwaini mkubwa. Kavae bikini uendelee kuliwa
 
Huwezi kumkumbuka wewe peke yako malaya unaefumuliwa malinda. Ila wazalendo wanamkumbuka kila leo. Bandari isingeuzwe kifala namna hii shwaini mkubwa. Kavae bikini uendelee kuliwa
Kwani wewe umeacha lini kufumuliwa kila uchao?
 
Itakua vizuri sana.
Maana sisi tulioharibiwa maisha yetu na kuumizwa tutapata sehemu rasmi ya kwenda kumwaga laana zetu kuwaonesha wajukuu na vizazi vyetu jinsi mtu alieharibu maisha yetu alivyokua.
Tutapata nafasi ya kuchapa viboko sanamu hiyo.
Maana shilingi Ina pande mbili,hata tukiwa watatau TU nchi nzima tulio tendwa na bwana yule,tunatosha kuonesha hisia zetu.
Kumbukumbu sio lazima kwa mambo mazuri TU,hata mambo mabaya yanawekewa kumbukumbu,ndio maana Leo hii Kuna kumbukumbu za picha na vifaa sehemu mbalimbali nchini na duniani kote za jinsi wakoloni na waovu wengine walivyotumia kutesea babu zetu.
 
Mwamba hafii madarakani

Mwamba ni Fidel Castro pengine na Nyerere.
Maadui wanakuwinda wee Hadi wanachoka kisha unang'atuka madarakani kiroho safi.
 
Kweli kabisa Poti.
Ila tumeanza kitukanwa na kuonwa wabaya sababu ya huyu mhamiaji haramu na mkimbizi.
Miaka ya nyuma tulipendwa kuheshimiwa na kufanyiwa utani na Kila kabila.
 
Sijui Dr wa nini huyo?
Kama angekua Dokta kweli,basi Ben wala asingepotea. Formula ndio Iko hivyo.
Mtu akikutuhumu kua wewe ni jambazi wakati nafsini mwako unajua hujawahi kuiba hata njiti moja ya kiberiti wala hutamdhuru mtu huyo Bali utam prove wrong peaceful.
Lkni kama kweli wewe ni jambazi mtu akikutaja TU utatafuta njia za kumnyamazisha kwa amani au kwa nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…