Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Watu mnashusha nondo za maana kwa huyo kibaka
Nilikaa na Waziri Bashe anaongelea uwekezaji katika umwagiliaji wa kiasi cha dola milioni 16.

Yeye mwenyewe akiziona hela nyingi hizo.

Wakati dola milioni 16 ni thamani ya nyumba moja tu hapo Malibu.

Nikasema Jiwe alitupiga na kitu kizito sana katika ununuzi wa zile ndege.

Tena ndege zenyewe zimenunuliwa kijinga, nyingine zikisafiri nje zinakamatwa kufidia madeni ya nchi.

Ujinga mtupu.

Tumenunua Dreamliner 4 za dola za Marekani milioni 726, halafu kilimo cha umwagiliaji nchi nzima tunawekeza dola milioni 16.


Halafu ndiyo unaambiwa mzalendo huyo!
 
Mkuu ni kweli huenda kuna kumbukumbu ya mazuri yake. Lakini vipi yakipimwa kwa kulinganisha na mabaya yake. Ndiyo! Alikuwa ni kipenzi cha maendeleo ya vitu, na tena kwa amri katili ya kikatiba kuendana na mamlaka ya kirais aliyokuwa nayo katika enzi zake.

Vipi kuhusu upande wake wa pili! Ule wa madhila hasi kwa wale wote aliowatendea udhalimu kwa ajili ya manufaa yake binafsi ya kisiasa. Ili kumtendea haki yote, kila jiwe itapaswa ligeuzwe ili mazuri yote na mabaya yake yakapate kudhihirika.

Yeye alikuwa ni binadamu kama mwingine yeyote yule. Hatuwezi kuficha mabaya yake eti kisa alikuwa Rais wa JMT, na alikuwa na kinga ya kutokushtakiwa akiwa hai kwa yale aliyoyafanya akiwa Rais. Ni lazima avune alichokipanda, hii ni kanuni ya maisha, hapa duniani katika maisha ya kimwili, na hata mbele ya mamlaka ya mbingu katika maisha ya umilele ya kiroho.
 
Unapi
Uzalendo
Uzalendo wa Kitanzania sio?

.......sifa za mzalendo.....
1. Anaipenda nchi na watu wake
2. Haiibii nchi yake
3. Hufanya kila kitu kwa manufaa ya nchi na watu wake
4. Hatesi raia
5. Haui/hauwi raia
Unajaribu pigana na legasi eee, utachoka
 
Shida hayo mambo kuyaelewa unatakiwa pia uwe na akili kubwa, ukiwa kawaida utaishia kusifu na kuabudu watu, shortly jamaa aliweza kucheza na akili za wabongo coz wengi sio wafuatiliaji wa mambo kiundani
 
Lazima ukweli uwekwe wazi kuhusu ulaghai wa Ibilisi, na "influencing powers" zake. Haijalishi ni nani na pia ana mamlaka zipi za kidunia, lakini utumwa huwa ule ule,
a. Using stage
b. Misusing stage
c. Abusing stage
d. Confusing stage

Utaweza kuponyoka ukiwa katika steji mbili za awali, kwa maana mbili za mwisho mtu huwa katika eneo la 18 zake. Ni steji ambazo mtu huwa anatawaliwa na kiburi cha uzima, kwa hiyo huwa haogopi kitu chochote kile na wala matokeo ya uamuzi wake wa kimwili au kiroho.
 
Wahuni wa mama kahaba ...baba fisadi... mtoto anauza ngada wamenuna sana ....wanatamani kupasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…