Nilikaa na Waziri Bashe anaongelea uwekezaji katika umwagiliaji wa kiasi cha dola milioni 16.
Yeye mwenyewe akiziona hela nyingi hizo.
Wakati dola milioni 16 ni thamani ya nyumba moja tu hapo Malibu.
Nikasema Jiwe alitupiga na kitu kizito sana katika ununuzi wa zile ndege.
Tena ndege zenyewe zimenunuliwa kijinga, nyingine zikisafiri nje zinakamatwa kufidia madeni ya nchi.
Ujinga mtupu.
Tumenunua Dreamliner 4 za dola za Marekani milioni 726, halafu kilimo cha umwagiliaji nchi nzima tunawekeza dola milioni 16.
Tanzania announced an order for a 787-8 Dreamliner, a 767-300 Freighter, and two 737 MAX jets at the 2021 Dubai Airshow.
www.tanzaniainvest.com
Halafu ndiyo unaambiwa mzalendo huyo!