Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Muda utaongea mkuu,ila Kwa TAIFA Ili la vijana wa sasa...

Maana wanamwandama marehemu utafiriki ndio aliwaleta duniaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Marehemu anavuna alicho panda. Wewe uuwe watu, hata Azory alikuwa na ndugu ,hata Saa name pia. Muuaji yule inabidi ashtakiwe akiwa kaburini.
 
Marehemu anavuna alicho panda. Wewe uuwe watu, hata Azory alikuwa na ndugu ,hata Saa name pia. Muuaji yule inabidi ashtakiwe akiwa kaburini.
Kabeni saanane kalikuwa kasumbufu halafu KADUCHUUU....

Mbowe akakafyeka
 
Acha uongo wapi Happ wanamlilia?. Kuna mtu ana hamu na watu wasiojulikana na kuziba watu midomo as if nchi ya kwake. Yule mjinga alichelewa kuondoka kweli.
 
Tumuenzi JPM.

Majizi machache yaliyojificha kwenye multiple IDs mitandaoni hayana athari yoyote ile.

Yes, bila kusahau MAMBURULAZ yenye vyeti feki.

Hasa huyu MMAWIA, katibu wa chadema aliyeishia FOM FOO.
 
Mbowe alimuua Ben Saanane na Chacha Wangwe.

Lakini hata hivyo yule Ben Saanane alikuwa na kiherehere sana, alistahili kunyukwa.

Mbowe aliajili tu wanajeshi wastaafu wawe walinzi wake akapewa kesi ya ugaidi, sembuse kuua ndio aachwe. Tuache siasa Magufuli alimuua Saanane na yeye akaondolewa na karma maana damu ya mtu ni nzito. Cha kutia Moyo naye kafa tena kifo Cha aibu
 
Multiple IDs zinapiga norinda jamiiforums 24hrs kwa kazi maalumu ya KUMTWEZA JPM.

Unakuta ni "taasisi" kabisa imejifungia mahalii inatema cheche mitandaoni.

The manipulators and liars. WALAGHAII

HILI NALO LITIZAMWE.

Ibilisi lazima akemewe. Wewe endelea kuhangaika na IDs
 
Tumuenzi JPM.

Majizi machache yaliyojificha kwenye multiple IDs mitandaoni hayana athari yoyote ile.

Yes, bila kusahau MAMBURULAZ yenye vyeti feki.

Hasa huyu MMAWIA, katibu wa chadema aliyeishia FOM FOO.
Umerogwa wewe
 
Acha uongo wapi Happ wanamlilia?. Kuna mtu ana hamu na watu wasiojulikana.
Majizi lazima yapigwe bakora na mijeledi.

Natamani niwe Rais wa hii nchi, nitawabamiza kweli kweli.

Tena magufuli aliwachekea sana, ilipaswa mpigwe risasi hadharani kwenye uwanja wa taifa.

Na ikibidi kukatwa kwa SIME katikati ya utosi mpaka miguuni.

Ningekuwa rais ningekuwa KATILI KWELI KWELII... Siku nikiwa, I promise to be A BRUTAL MONSTER..... ombeni sana nisipenye huko. MAJIZI MTAHAMA NCHI.
 
Kabeni saanane kalikuwa kasumbufu halafu KADUCHUUU....

Mbowe akakafyeka

Mbowe yupi? Huyu ambaye Magu alimtafuta usiku na mchana? Akamvunjia bilcanas, akamuharibia shamba, akamfukuza NHC, akamfungia gazeti la Tanzania Daima, akamfungia akaunti zake, akamtengenezea kesi ya ugaidi nk, ndio aue na kuachwa solemba.

Magufuli alikuwa muuaji yule ipo siku ukweli utajulikana.
 
Tumuenzi JPM.

Majizi machache yaliyojificha kwenye multiple IDs mitandaoni hayana athari yoyote ile.

Yes, bila kusahau MAMBURULAZ yenye vyeti feki.

Hasa huyu MMAWIA, katibu wa chadema aliyeishia FOM FOO.

Acha kujificha kwenye veti feki na wizi wa fedha za China ambazo magu alificha huko. Rais mzima unaua watu na kuwaficha kwenye viroba.
 
Ibilisi lazima akemewe. Wewe endelea kuhangaika na IDs
Yaani nyiee, siku nikiwa Rais wa hii nchi MTAJAMBA KWA MIDOMO.

Magufuli aliwachekea sana majizii sijui kwanini! Alikuwa anayahurumiaa!!

JIZI linastahili SIME YA UTOSI unagawanya katikati utumbo nje.

If i will ever be the president, I will eat your flesh on my dinner table.
 
Majizi akina Nani?. Mbona Magu mwenyewe mwizi mzoefu. Umesahau alimpa kimada wake nyumba za serikali au umesahau alimhonga hawara yake Kabula ubunge?. Acha kujifanya una hasira wakati Magu mwenyewe kaficha pesa china na kamuajili binamu kuwa mkuu wa hazina.
 
Acha kujificha kwenye veti feki na wizi wa fedha za China ambazo magu alificha huko. Rais mzima unaua watu na kuwaficha kwenye viroba.
MAMBURULAZ yenye vyeti feki yana uchungu na mwamba wa Afrika JPM.

Nendeni shule acheni janja janja.

Hakuna ugali wa bure wa kudoea vyeti vya wizi.

Lazima ukae darasani usote upate degree ili uwe SMART na sio MBURULAZZ
 
STORI TU HIZI.

KICHAPO KWA MAJIZI NI NECESSARY.
 
Sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…