Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Muda utaongea mkuu,ila Kwa TAIFA Ili la vijana wa sasa...

Maana wanamwandama marehemu utafiriki ndio aliwaleta duniaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Marehemu anavuna alicho panda. Wewe uuwe watu, hata Azory alikuwa na ndugu ,hata Saa name pia. Muuaji yule inabidi ashtakiwe akiwa kaburini.
 
Marehemu anavuna alicho panda. Wewe uuwe watu, hata Azory alikuwa na ndugu ,hata Saa name pia. Muuaji yule inabidi ashtakiwe akiwa kaburini.
Kabeni saanane kalikuwa kasumbufu halafu KADUCHUUU....

Mbowe akakafyeka
 
Halafu nimegundua, wanaoeneza PROPAGANDA ZA KUMTWEZA MAGUFULI wako Jamiiforums tu.

Mtaani hali ni tofauti, watu wanamlilia sana chuma na kumsifu kwa mambo mazuri aliyoyafanya.

Lakini ukiingia kwenye haka kamtandao cha propaganda unakutana na MULTIPLE IDs zinamfokea JPM.

Haka kamtandao cha propaganda cha Jamiiforums katazamwe, kuna kitu.

Acha uongo wapi Happ wanamlilia?. Kuna mtu ana hamu na watu wasiojulikana na kuziba watu midomo as if nchi ya kwake. Yule mjinga alichelewa kuondoka kweli.
 
Tumuenzi JPM.

Majizi machache yaliyojificha kwenye multiple IDs mitandaoni hayana athari yoyote ile.

Yes, bila kusahau MAMBURULAZ yenye vyeti feki.

Hasa huyu MMAWIA, katibu wa chadema aliyeishia FOM FOO.
 
Mbowe alimuua Ben Saanane na Chacha Wangwe.

Lakini hata hivyo yule Ben Saanane alikuwa na kiherehere sana, alistahili kunyukwa.

Mbowe aliajili tu wanajeshi wastaafu wawe walinzi wake akapewa kesi ya ugaidi, sembuse kuua ndio aachwe. Tuache siasa Magufuli alimuua Saanane na yeye akaondolewa na karma maana damu ya mtu ni nzito. Cha kutia Moyo naye kafa tena kifo Cha aibu
 
Multiple IDs zinapiga norinda jamiiforums 24hrs kwa kazi maalumu ya KUMTWEZA JPM.

Unakuta ni "taasisi" kabisa imejifungia mahalii inatema cheche mitandaoni.

The manipulators and liars. WALAGHAII

HILI NALO LITIZAMWE.

Ibilisi lazima akemewe. Wewe endelea kuhangaika na IDs
 
Tumuenzi JPM.

Majizi machache yaliyojificha kwenye multiple IDs mitandaoni hayana athari yoyote ile.

Yes, bila kusahau MAMBURULAZ yenye vyeti feki.

Hasa huyu MMAWIA, katibu wa chadema aliyeishia FOM FOO.
Umerogwa wewe
 
Acha uongo wapi Happ wanamlilia?. Kuna mtu ana hamu na watu wasiojulikana.
Majizi lazima yapigwe bakora na mijeledi.

Natamani niwe Rais wa hii nchi, nitawabamiza kweli kweli.

Tena magufuli aliwachekea sana, ilipaswa mpigwe risasi hadharani kwenye uwanja wa taifa.

Na ikibidi kukatwa kwa SIME katikati ya utosi mpaka miguuni.

Ningekuwa rais ningekuwa KATILI KWELI KWELII... Siku nikiwa, I promise to be A BRUTAL MONSTER..... ombeni sana nisipenye huko. MAJIZI MTAHAMA NCHI.
 
Kabeni saanane kalikuwa kasumbufu halafu KADUCHUUU....

Mbowe akakafyeka

Mbowe yupi? Huyu ambaye Magu alimtafuta usiku na mchana? Akamvunjia bilcanas, akamuharibia shamba, akamfukuza NHC, akamfungia gazeti la Tanzania Daima, akamfungia akaunti zake, akamtengenezea kesi ya ugaidi nk, ndio aue na kuachwa solemba.

Magufuli alikuwa muuaji yule ipo siku ukweli utajulikana.
 
Tumuenzi JPM.

Majizi machache yaliyojificha kwenye multiple IDs mitandaoni hayana athari yoyote ile.

Yes, bila kusahau MAMBURULAZ yenye vyeti feki.

Hasa huyu MMAWIA, katibu wa chadema aliyeishia FOM FOO.

Acha kujificha kwenye veti feki na wizi wa fedha za China ambazo magu alificha huko. Rais mzima unaua watu na kuwaficha kwenye viroba.
 
Ibilisi lazima akemewe. Wewe endelea kuhangaika na IDs
Yaani nyiee, siku nikiwa Rais wa hii nchi MTAJAMBA KWA MIDOMO.

Magufuli aliwachekea sana majizii sijui kwanini! Alikuwa anayahurumiaa!!

JIZI linastahili SIME YA UTOSI unagawanya katikati utumbo nje.

If i will ever be the president, I will eat your flesh on my dinner table.
 
Majizi lazima yapigwe bakora na mijeledi.

Natamani niwe Rais wa hii nchi, nitawabamiza kweli kweli.

Tena magufuli aliwachekea sana, ilipaswa mpigwe risasi hadharani kwenye uwanja wa taifa.

Na ikibidi kukatwa kwa SIME katikati ya utosi mpaka miguuni.

Nitakuwa KATILI KWELI KWELII... I promise to be A BRUTAL MONSTER..... ombeni sana nisipenye huko. MAJIZI MTAHAMA NCHI.

Majizi akina Nani?. Mbona Magu mwenyewe mwizi mzoefu. Umesahau alimpa kimada wake nyumba za serikali au umesahau alimhonga hawara yake Kabula ubunge?. Acha kujifanya una hasira wakati Magu mwenyewe kaficha pesa china na kamuajili binamu kuwa mkuu wa hazina.
 
Acha kujificha kwenye veti feki na wizi wa fedha za China ambazo magu alificha huko. Rais mzima unaua watu na kuwaficha kwenye viroba.
MAMBURULAZ yenye vyeti feki yana uchungu na mwamba wa Afrika JPM.

Nendeni shule acheni janja janja.

Hakuna ugali wa bure wa kudoea vyeti vya wizi.

Lazima ukae darasani usote upate degree ili uwe SMART na sio MBURULAZZ
 
Majizi akina Nani?. Mbona Magu mwenyewe mwizi mzoefu. Umesahau alimpa kimada wake nyumba za serikali au umesahau alimhonga hawara yake Kabula ubunge?. Acha kujifanya una hasira wakati Magu mwenyewe kaficha pesa china na kamuajili binamu kuwa mkuu wa hazina.
STORI TU HIZI.

KICHAPO KWA MAJIZI NI NECESSARY.
 
Mungu wewe unachukua majabali una chukua wanaume ambao kweli jando lao halikuwa la ganzi. Wanaume wenye misuli ya Imani na uwezo wakuona kesho kwa Imani na matendo. Kwa Tanzania Ulitupa Hayati Joseph Pombe Magufuli. Kijana alie zaliwa ktk ufukara ila ukampa kukikalia kiti cha Jamuhuri ya watu Wa Tanzania na kweli akatupa darasa ambalo kamwe kwa tulio Baki hatuto msahau.

Kama ilivyo kwa mzazi alituchapa na alituadabisha akiwa na ndoto za mzazi siku moja siku moja tutamkumbuka nakwenda ktk kaburi lake nakusema baba tunakukumbuka kama Mungu angetupenda basi angalau angekupa mwaka mmoja tu zaidi utuchape viboko ili tuwe na akili.

Jemedari huyu wa awamu ya Tano aliitikisa nchi ikatikisika alipambana na majangili mpaka wanyama Porini na miti maporini ikawa inamuombea kwa Mungu. Alilinda kwa mkono wa chuma mipaka na siri za serikali kiasi kila alie na siri aliona kuliko kuitoa Bora kunywa sumu.

Alimanisha alicho Maanisha na hakuwa na utani kwa kile alimanisha. Kwake dam na neno lake vilikuwa nijambo lakuchaguwa na hiyo ndio maana ya kiongozi. Wanafiki na mapandikizi walipata tabu sana maana aliwafanya wajione kama mapanzi mbele ya tai.

Hakuwa na mchezo hakuwa na masihara kwenye kitu kinaitwa hela ya serikali na nidham ya kazi kama ulitaka kuona rangi ya mtawala huyu basi cheza na hela ya serikali na kuwa mzembe kazin utachekea chooni. Watu walirudisha risiti na pesa ilio Baki ya serikali. Watu waliogopa pesa ya serikali kiasi ilifika mahali TUNAKUTANA kwa Mama ntilie Yani mama ntilie alipanda thamani kuliko 5 star hotels ama restaurant ama kwa hakika nchi ilisimama na vitambi vya upigani vilipotea.

Sito sahau story yakutisha ya kijana mmoja jirani kijana alie kuwa misheni town alie kuwa akila kwa kutumia sim yake aka misheni town. Nakama unakumbuka ili kuleta nidham kazin na mtaani Baba alikuwa sahani moja na misheni town. Kijana yule alikuwa akila maisha mjini pasipo kufanya kazi leo Tiss kesho Jwtz ila chini ya Mwamba kwa mara ya kwanza kijana yule alianza kujifungia ndani kama mbwa wakati wa mchana na kujifungulia usiku. Kijana alianza kukonda na mwisho alikufa kifo cha Kafla baada yakukutana na team hatari yakutokomeza wapigaji. Shikamoo Baba.



Mbabe huyu alitufanya watu wawe na plan B ktk kila wakifanya na alifanya watu kuheshim mishara yao nikatika kipindi chake alifanya mageuzi makubwa na yaaina yake kwenye secta ya ajira sio hivyo tu alihakikisha masikini akiingia Ofisi ya serikali awe mfalme asikudanganye mtu masikini na mtu wa chini alikuwa mfalme maana ilikuwa akisikia mtu amedhulumiwa au akionewa na RC walile eneo hakufanyia kazi tatizo lake unakiwa kichwa bila notice. He was Iron Men. Acha chezea hii namba.

Hayati Magufuli hakuwa kiumbe cha kawaida hakuwa mwanadam au kiongozi wakawaida alipania na alikumbuka ahadi yake kwa Mungu na akiifanyia kaz kwa dam na jasho kwa ajili ya Tanzania. Moja maisha yalio watisha wengi nikufanya kaz usiku wakati mwingine usiku mzito sana the guy was not normal human being lazima watu wakaribu watasimulia maajabu ya huyu kiumbe.

Alilijuwa duka na alikuwa na kila siri ya duka na hili likiwatetemesha wengi japo wazalendo walio mpenda walisema Mungu Asante umetuletea mkombozi. Alizijuwa siri ambazo watangulizi wake uwenda hawakudhani angezijuwa na alisoma sana kila siri wakati mwingine files ZINGINE mezani mwake zilimtisha hata yeye mwenyewe na uwenda ndio maana alituacha ktk wakati hakuna aliamini angetuacha japo Yeye alishakiona kifo.

Mwamba ndio mwanaume alie Jenga hili Taifa kwenye miundo mbinu huwezi simulia miundombinu ya Taifa hili bila kumtaja Mwamba Magufuli. Alitandaza lami mpaka Malaika wa Mbinguni wakasema lazima utaliongoza hili Taifa. Wachambuzi wa mambo wanasema kama angekuwa kibaka uwenda ndio waziri angekuwa na ukwasi wakitisha ktk Taifa hili ila alikuwa wakawaida sana.

Ukikaa nakujiuliza why Kuna kundi lina mchukia sana jibu nimoja tu kitu alicho wafanyia na pin alizowawekea na makofuli aliwafungia milango yao ya ulaji kamwe hawatoweza kuifungua hata baada ya miaka 100 yani aliona zaidi yao mfano nani anapenda mradi wa bwawa la mwalim Nyerere kama unamacho ya mbali Yani huu mradi unawauma watu fulani sana Usiniulize kwanini.

Miaka inakuja Gemedari huyu atakuwa Habari ya Taifa na huwenda siku zinakuja kutakuwa na Magufuli day. Siku zinakuja kumdhihaki nakumsema huyu Mwamba vibaya unakosa kura siku zinakuja hata upinzani watamtaja kwa mema. Wajukuu watamuimba nakumsoma mashuleni. Maana ndie kiongozi alie sema moyoni mwake kuliko kuishi nakupigiwa mizinga 21 na heshima na kukaa ktk magorofa nakula Pepo za Dunia ni Bora kufa nikiacha alama ambayo kila mtu hatoangalia mabaya yangu ila mema yangu.
Hayati Magufuli ni nyota iliozima wakati wa mchana ila lijapo giza atamulika kwa milele. Asante Baba Asante Mzee Magufuli umetufundisha Uzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Amen
Sawa kabisa
 
Back
Top Bottom