Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Nilikaa na Waziri Bashe anaongelea uwekezaji katika umwagiliaji wa kiasi cha dola milioni 16.

Yeye mwenyewe akiziona hela nyingi hizo.

Wakati dola milioni 16 ni thamani ya nyumba moja tu hapo Malibu.

Nikasema Jiwe alitupiga na kitu kizito sana katika ununuzi wa zile ndege.

Tena ndege zenyewe zimenunuliwa kijinga, nyingine zikisafiri nje zinakamatwa kufidia madeni ya nchi.

Ujinga mtupu.

Tumenunua Dreamliner 4 za dola za Marekani milioni 726, halafu kilimo cha umwagiliaji nchi nzima tunawekeza dola milioni 16.

Halafu ndiyo unaambiwa mzalendo huyo!
Daah, Jamaa PHALA SANA WEE
 
Halafu nimegundua, wanaoeneza PROPAGANDA ZA KUMTWEZA MAGUFULI wako Jamiiforums tu.

Mtaani hali ni tofauti, watu wanamlilia sana chuma na kumsifu kwa mambo mazuri aliyoyafanya.

Lakini ukiingia kwenye haka kamtandao cha propaganda unakutana na MULTIPLE IDs zinamfokea JPM.

Haka kamtandao cha propaganda cha Jamiiforums katazamwe, kuna kitu.
 
Kuwadanganye sukuma gang wenzako
 
Siogopi kashifa maana najuwa ukweli hakuna asie mpenda Magu. Sote ni mashahidi alisema mtanikumbuka

Nani amkumbuke mficha pesa china? Kamanda wa wasiojulikana. Kama wewe unakumbuka ni kwako usilazimishe watu.
 
Multiple IDs zinapiga norinda jamiiforums 24hrs kwa kazi maalumu ya KUMTWEZA JPM.

Unakuta ni "taasisi" kabisa imejifungia mahalii inatema cheche mitandaoni.

The manipulators and liars. WALAGHAII

HILI NALO LITIZAMWE.
 
Back
Top Bottom