Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa walipoingia watu wajinga Wenye Akili wakaamua kukaa kimya na kotojingiza kwenye siasa nature ilivyo ya Nchi na wananchi Kuna siku wenye akili wataingia kwenye siasa mambo yatakua mazuriKina traore wapo na tupo wengi, ila hujui yupi na yupi maana waweza ona una pambania maslahi ya taifa kumbe ni interest ya kiongozi fulani.
Leo hii nawaza mtu Kama shivji tunge mtumia Kama taifa, lazima tunge faidika nae.
Inasikitisha sanaHakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo huu, ipo siku Watanzania watapanga kwenye ardhi yao wenyewe kwa sababu ardhi yote imepewa wawekezaji.
Umuhimu wa kurudisha Tanganyika unaonekana wazi sasa, maana hali hii haileti picha nzuri. Bandari zinazorasimishwa zipo Tanganyika, si Zanzibar. Ardhi inayorasimishwa ni ya Tanganyika, si ya Zanzibar. Wananchi wanaoondolewa kwenye maeneo yenye rutuba na ardhi yao kugawanywa kwa wawekezaji ni wa Tanganyika, si wa Zanzibar.
Je, hili ni sawa? Kwa nini hata marais waliopita, kama Jakaya Kikwete, hawakurasimisha mali za Zanzibar kwa mtindo huu?
Kuna kijij kimoja wametimuliwa wote kapewa mwekezaj kwa kuambiwa walivamia eneo na huku wamezaliwa pale miaka mingi tu, wanatulizwa kwa fidia.Japo wanajinasibu na msemo wa "Right there where you are" the state wamechelewa ku excute Ile mission yao!!
Baadhi tunajua 2026 ndio hasa madhara ya hiyo mikataba yataonekana watu watapoanza kufurushwa kwenye ardhi zao Ili kupisha so called wawekezaji!!
Kwa Sasa Hali imetulia kidogo wakisuburi baada ya uchaguzi akipita aliewapa ardhi ndio kimbembe Cha kufukuza watu kianze!!
The state operation PJLK imefikia wapi!!?
Tatizo, ni taasisi hizi kutofanya kazi, ipasavyo, bunge, cag, Mahakama, dpp, Tume ya uchafuzi, tume ya madili ya viongozi na ijp kuelemewa na mzigo wa dhambi za hao wengineHakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo huu, ipo siku Watanzania watapanga kwenye ardhi yao wenyewe kwa sababu ardhi yote imepewa wawekezaji.