Hao jamaa ni manabii. Mabeyo atakuwa anasikitika sana.Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavhoendelea, nashawishika kusema walitaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo India, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo.
Mambo hivi sasa hayaendi kabisa. Nchi ni kama imesimama.
Hiyo ni Dar sijui Kigoma na Bukoba itakuwajeImeniuma Tsh 30000 kupata lts 8. Za petrol.
Ni suala la Muda tu..Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavhoendelea, nashawishika kusema walitaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo India, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo.
Mambo hivi sasa hayaendi kabisa. Nchi ni kama imesimama.
Kichwa tu cha habari kinatosha kueleweka.Hebu weka themes vizuri tukuelewe unamaanisha nini!!!
Na wapinzani uchwara.Tuna matatizo na maadui wengi ndani ya nch lakini tatizo kubwa na adui wa kwanza kabla ujinga maradhi na umaskini ni CCM.
Hujitambui wewe, kuna kitu kinaitwa precedence ndio ingekua order of the day. So kama Samia angepinduliwa ingekua ndio mchezo kila Rais anayefuata angeondolewa kwa mapinduzi.Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavhoendelea, nashawishika kusema walitaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo India, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo.
Mambo hivi sasa hayaendi kabisa. Nchi ni kama imesimama.
Manabii kivipi unajua wangemweka nani? Angewekwa Mwigulu kuna unafuu wowote? Acheni kushabikia ujingaHao jamaa ni manabii. Mabeyo atakuwa anasikitika sana.
Manabii kivipi unajua wangemweka nani? Angewekwa Mwigulu kuna unafuu wowote? Acheni kushabikia ujinga
Majaliwa hakuwa katika uo upande na ndiyo maana hakumchomoa pale.Twende mbele, Turudi Nyuma. SUKUMA GANG na kina Majaliwa walikuwa sahihi. Muda unazidi kuongea.