zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwa kipi alichofanya Bashiru Ally kudhani angefaa kuwa Rais? Kama tu alikana msimamo wake wa katiba mpya ili apewe ubunge sidhani kama angetupeleka kokote. Angeturudisha kwenye sera za ujamaa, he would be worse than Samia.Alipaswa kupewa mtu yeyote aliyekuwa mtiifu kwa jiwe. angepewa kakulwa nchi ingeenda vizuri sana.
Kingine kama JPM alimteua Samia kuwa makamu na hakua mtiifu kwake ni kosa la Samia au JPM? si mlisema JPM alikua genius kama!! Kama tu succession plan ya kuandaa Rais ajaye alishindwa huo ugenius wake uko wapi?