Sisi hapa ndio tulikuwa tunataka Katiba ikiukwe.
Nikaenda mjini siku ile,tena nilikuwa sina nauli,nikaenda kwa mguu. Kidogo nipate sun-stroke.
Nimefika kule nikauliza,:"Yanasema nini magazeti ya Kenya,kwamba ' yupo kiongozi wa Afrika Mashariki anatibiwa Nairobi?"
Nikaambiwa,:" Wanasema ni Magufuli".
Nikasema,:"Now I am sad. Nataka Magufuli ainuke,atembee. Sitaki huyu Samia awe rais?"
Kwa hiyo,Samia akachaguliwa ,tukapinga,lakini,it was useless.
Watu wengi walikuwa wanampenda rais mpya. Walikuwa bado hawafahamu kuhusu predilection yake ya kuuza ardhi.