Pre GE2025 Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

Pre GE2025 Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nakubaliana Nawewe

MABEYO KWANGU SIO SHUJAA.
Kabisa mnatetea waliotaka kuvunja Katiba ya nchi? Mkishachezea Katiba mra moja hiyo dhambi mtaijutia milele! General Mabeyo anastahili heshima kubwa. # Mwacheni Mhe. Rais aongoze kwa vision yake🙏🙏🙏
 
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.

Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo inda, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo.

Mambo hivi sasa hayaendi kabisa. Nchi ni kama imesimama.

Maza kaamua kuliavoid JUKWAA kwa kila namna .... Naona anamwachia Kinana rasmi amfanyie kazi ya kumrudisha Magogoni.
 
Watu walimuona Ndugai kichaa ila yule jamaa ana akili sana.
Hana akili yoyote ile si ndio alipinga bandari ya Bagamoyo alafu JPM alipofariki akasema "walipitiwa".

Ni huyu Ndugai ndio alipinga ripoti ya CAG kusomwa bungeni eti kisa kawaita wana uwezo mdogo!! yaani alikasirika kisa CAG ameonesha kuna ufisadi na bunge halikuchukua hatua.
 
Hujitambui wewe, kuna kitu kinaitwa precedence ndio ingekua order of the day. So kama Samia angepinduliwa ingekua ndio mchezo kila Rais anayefuata angeondolewa kwa mapinduzi.

Same to fomu moja CCM, tulipiga kelele sana 2020 na 2010 humu JF kwamba ni precedence mbaya. Cha ajabu wana CCM wakamtetea JPM kuwa anakubalika sana so hakuna haja ya kugawa fomu nyingine. Leo Mama Samia naye anapewa fomu peke yake ya kugombea watu wamekua wakali ila kiini ni precedence.

Kwahiyo tamaa ya siku moja isikupande kichwani hadi ikabadili mfumo wa uongozi milele. Hao waliotaka kupindisha ilifaa wanyongwe kabisa!!

Kingine hao waliotaka kupindisha katiba sio kwamba walijua mama hawezi Urais ila wao nao walitaka kuweka Rais watakaomcontrol ili waibe zaidi. Sitaki kuamini kwa jinsi mafisadi yalivyojaa CCM kwamba yalitaka Rais "mkali", maana wangeiba wapi sasa? So wote tu walikuwa wanataka kuiba kuliko wenzao.
Mfumo dume unasumbua akili za watu humu ndani na huko mtaani kwa ujumla.

Rais mwanaume hata akiua maelfu kwa maelfu ya watu bila ya kuwa na ushahidi wala sababu zenye kujtosheleza kwao ni pia ilimradi mwanaume kafanya unyama huo.

Rais mwanaume hata akishindana na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo na ushawishi nje na ndani ya nchi huku mamilioni ya raia wakiumia kiuchumi kwao ni poa tu, mwanaume kafanya hivyo.

Ni madhara ya malezi ya kijamii pia ni uwezo na ukuu wa Mungu aliyeamua kuwa ikifika mwaka 2021 mwezi March kuanzia tarehe 19 Tanzania iwe chini ya uongozi wa Rais mwanamke.
 
Mabeyo atakumbukwa na vitabu vya historia kwa miaka mingi ijayo. Alisimamia maadili ya katiba inayoongoza Tanzania.

Ushujaa wa hali ya juu kumuweka mwanamama ikulu na kumhakikishia mbele ya umma siku ya mazishi ya JPM kule Chato kwamba atamlinda siku zote.
 
B
Inadaiwa alikuwemo na mpk leo anachukiwa sana, ndiyo maana kawekewa naibu ili abakie kuwa ceremonial
Bado nina imani huyu hakuwepo! Sijui yaliyomo ndani yake ila anaishi kinafiki sana.
 
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.

Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo inda, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo.

Mambo hivi sasa hayaendi kabisa. Nchi ni kama imesimama.
waliona mbali sn
 
Kuna watu hawajalipwa pesa za mwezi wa 4 mpaka leo tarehe 6.

Mabeyo hii kimeo ulituletea,Mungu ndio anajua.
 
Hao walikuwa wazalendo hasa.walinua kabisa huyu hataweza kitu na kweli imekuwa hivo.kwa Sasa Kila kitu kimepanda bei zaid ya mara tatu ya ilivyokuwa miaka mitatu nyuma.mfano umeme tulilipia 27000 lakini Kwa Sasa ni 320000,mchele kilo ilikuwa 1500 super lakini Kwa Sasa ni 3300, petroli ilikuwa 1450 lakini Kwa Sasa 3320,tuliahidiw bwawa la JNHEPP likikamilika umeme utashuka bei lakini baada ya huyu mzanzibari amezuia kupunguza.wale wazalendo waliotaka kumzuia inabidi tuwaandalie tuzo maalum.
 
Hana akili yoyote ile si ndio alipinga bandari ya Bagamoyo alafu JPM alipofariki akasema "walipitiwa".

Ni huyu Ndugai ndio alipinga ripoti ya CAG kusomwa bungeni eti kisa kawaita wana uwezo mdogo!! yaani alikasirika kisa CAG ameonesha kuna ufisadi na bunge halikuchukua hatua.
Punguza mahaba mzee

Penye ukweli pasemwe ukweli

Unaona ni sawa rais kusafiri kimya kimya Tena siku ya muhimu kama ile?!

Wekeni Wazi basi mlichoenda kufanya huko?

Halafu unakuja hapa unaandika hoja zako za kiutetezi.....

Punguza ujuaji kidogo kwenye mambo ya msingi!
 
Back
Top Bottom